The Professor Vs Scofield

The Professor Vs Scofield

Kwangu michael yupo juu !kinachonifanya niseme ivo ni kwamba mara nyingi alikiwa akifel katika mipango yake na iyo ndo nature ya binadam. Lkn anatumia akili ya ziada ndo apo ninapompa point michael kulinganisha na na professor professor kila anachopanga kilikuwa kinaenda kama kilivyo ki uhalisia hamna kitu kama icho panga mipango uvurugwe utumie akili ya ziada michael kwangu atabak kuwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Itazame upya La casa de papel mkuu, si kila alichopanga professor kilitimia, Professor alikuwa na options nyingi kwamaana iki-fail option A ata-opt B,C...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof ni bora kwa sababu kapiga mission ngumu ya kuvamia benki kuu ya nchi na kuchomoka na mapesa na akawagaia wananchi.

Scolfield huwezi mlinganisha na prof wewe. Kumtorosha mtu jela ni kitu kidogo ita polisi pemben mpe buku 50 uone kama ndugu yako hajatoroshwa na hao polisi wanao mlinda.

Sasa jiloge uende benki kuu ya nchi useme nataka kuvunja uone kitakupata nini.

Bella cha bela cha bela cha...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona unachanganya mafile mzee.. unafananisha na polisi za kibongo.. scofield anascript nying tu kali kavunja magereza kibao ambayo ktk script yanaoneshwa hayajawahi kuvunjwa na mtu yoyote. Usifananishe na segerea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote ni wakali

Mtazamo wangu nimemuelewa zaidi Scofield
Changamoto alizopitia huyu mwamba ni balaa aisee
Kuvunja na kutoroka ni jambo moja lakini kuwa kwenye mipango ya kutoroka na vichaa aliokua nao ilikua inahitaji zaidi ya akili ya ziada kukamilisha mpango mzima

Prof naye ni mtamu alipata changamoto lakini naona kama mipango yake mingi haikupata changamoto kama ya Scofield
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom