The Privacy In Relationships...

He he he, leo nambip msukuma
Ole wako uulize ni nani, na tunakichapa cha sayusayu mwanzo mwisho.

Hebu itafute nijiongezee elimu maana hii privacy ya hadi mume asiulize nani kakupigia simu manane ya usiku?
 
  • Thanks
Reactions: bht
He he he, leo nambip msukuma
Ole wako uulize ni nani, na tunakichapa cha sayusayu mwanzo mwisho.

weee jaribu uone...
cheza na mimi usicheze na msukuma wangu hapatatosha.... to hell with Haki za Binadamu za Bosi na huyo mwanasheria wake. Hiyo Charter ni ya hao wanandoa tu sisi haituhusu.
hehehe cha Sayu Sayu kanifundisha chote nabonga bila wasiwasi mwenzio...
 
Hahaha! U ar right. Friday baada ya kazi tulitoka meeting na dada flani tukaamua tuhang kidogo. Mumewe alienda 'site' toka mapema. She called her kids (wako likizo, teenagers) wakamuambia papaa is asleep. Baadae anampigia mumewe amfuate jamaa anamuambia I'm so tired ndo natoka site, nakuja. Yaani tulimjadili sana. Alikuwa home na anadanganya alikuwa site. What was the reason for lying? By the time anafika tuli-conclude to some lying is a hobby!
Unreasonableness yao...kama hivyo ulivyosema hata kama hawana cha kuficha bado watataka kuficha tu.
 
Privacy gani?
Upuuzi mtupu
Mi mtu akitaka kuwa na mimi sharti no moja anipe simu yakesiku mbili
Hutaki chapa lapa
Sidanganyiki tena
Privacy wewe ni fbi
Kwenda huko

nowadays 4n is each and kila kitu sasa siku mbili mama angu utampata kweli or unataka
mtu anunue sim mpya na laini mpya cause the mind is like a parachute it doesn't work unless it open
 
Hahaha! U ar right. Friday baada ya kazi tulitoka meeting na dada flani tukaamua tuhang kidogo. Mumewe alienda 'site' toka mapema. She called her kids (wako likizo, teenagers) wakamuambia papaa is asleep. Baadae anampigia mumewe amfuate jamaa anamuambia I'm so tired ndo natoka site. Yaani tulimjadili sana. Alikuwa home na anadanganya alikuwa site. What was the reason for lying? By the time anafika tuli-conclude to some lying is a hobby!

That's what we call a pathological liar!!
 
Naona hadi mapafu yameruka juu kusikia msukuma.
Tutaongea slang.

Kwa msukuma ukileta haki za wanawake am sure anaweza toa talaka hadi kwa mama mkwe, labda awe kakulia mjini
weee jaribu uone...
cheza na mimi usicheze na msukuma wangu hapatatosha.... to hell with Haki za Binadamu za Bosi na huyo mwanasheria wake. Hiyo Charter ni ya hao wanandoa tu sisi haituhusu.
hehehe cha Sayu Sayu kanifundisha chote nabonga bila wasiwasi mwenzio...
 
And there was no reason to do that!
Mie mwenza akianza kujidai don't touch my fone, namuitikia na naweka password hadi ya screen saver. I create a guest account in my laptop na atatumia hiyo. Then we will see who will 'manufacture' a song on privacy to couples! Eish!
That's what we call a pathological liar!!
 
Hahaha! U ar right. Friday baada ya kazi tulitoka meeting na dada flani tukaamua tuhang kidogo. Mumewe alienda 'site' toka mapema. She called her kids (wako likizo, teenagers) wakamuambia papaa is asleep. Baadae anampigia mumewe amfuate jamaa anamuambia I'm so tired ndo natoka site, nakuja. Yaani tulimjadili sana. Alikuwa home na anadanganya alikuwa site. What was the reason for lying? By the time anafika tuli-conclude to some lying is a hobby!
Hayo ndo mazoea mabaya...sawa na mwizi aliyekubuhu huwa kuna utani kuwa akikosa cha kuiba anaweza hata kunyatia shati lake alilotundika.
 
Hahaha! U ar right. Friday baada ya kazi tulitoka meeting na dada flani tukaamua tuhang kidogo. Mumewe alienda 'site' toka mapema. She called her kids (wako likizo, teenagers) wakamuambia papaa is asleep. Baadae anampigia mumewe amfuate jamaa anamuambia I'm so tired ndo natoka site, nakuja. Yaani tulimjadili sana. Alikuwa home na anadanganya alikuwa site. What was the reason for lying? By the time anafika tuli-conclude to some lying is a hobby!

Lying is hobby!!!!Nilikua sijui hii,duh!!
 
Kwanza akija tu na swagger za napenda privacy yangu, muambie hata mie napenda kweli privacy. Afu akipiga simu kata, muambie 'can't talk, sms only', weka password hadi kwenye viatu. Na muambie ili aje kwako akupe notice ya 2 hrs na wewe u will do the same.
Muulize NyamaYao na Sweetlady, ukimkimbiza kipepeo anazidi kukimbia,lol
Privacy gani?
Upuuzi mtupu
Mi mtu akitaka kuwa na mimi sharti no moja anipe simu yakesiku mbili
Hutaki chapa lapa
Sidanganyiki tena
Privacy wewe ni fbi
Kwenda huko
 
Hujawahi kuona mtu anakudanganya kabila? As if ukilijua kabila lake utahamia na wewe ufaidike...

Duh!Kama kabila gani hilo?Maana nisije kumwambia mdada akahamia,nianze kuzoea kudanganya!
 
Hapa umesema gf wake, sio mke wala mchumba. Ikiwa huna uhakika mbeleni itakuaje, why reveal your private matters to him...? Ungesema mchumba na posa imepelekwa ningekua na cha kushauri. lakini kwa vimada, kila mmoja akae na simu yake na password yake mpake kieleweke. kubanana banana sana wakati hujui mbeleni itakuaje ni kunyimana uhuru. huu ni mtazamo wangu jamani, msinimeze.
 
Hujawahi kuona mtu anakudanganya kabila? As if ukilijua kabila lake utahamia na wewe ufaidike...

Duh!Kama kabila gani hilo?Maana nisije kumwambia mdada akahamia,nianze kuzoea kudanganya!
 
mie nashanga sana watu wanakibilia relagionships wakati hawawezi handle vitu vya msingi in a relation....wewe kama watama privacy sii ubakie single bana. once u in a relation umekubali ku forego independe na privacy yako wen it comes to ur partner
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom