Hivi mama mjamzito wa miezi 9 huwa anaweza kukimbia??
... Kwenye mabomu ya Gongolamboto kuna wajawazito walioneka wakikimbia, tena kuwapita wanaume wenye vitambi.
Labda wale wa vijijini,wa mjini lazima wawe kwenye bed rest!Hivi mama mjamzito wa miezi 9 huwa anaweza kukimbia??
Teh teh teh!mkuu mbagala ni mjini au unatafuta shari na sisi wa mbagala rangi tatu?Je Wa Mbagala???