karibu sana jawilat..
mambo vipi?
Karibu..
Niambie, naamini umekuwa na siku njema.
Mada umeiona tayari.
Power of Love,
naamini uko tayari kwa mazungumzo.
sawa basi tuanze, niambie ulishawahi kuiona nguvu ya upendo haswa katika mahusiano...
Hapa kinaendelea nini?
Mnanshangaza!!!
Hapa kinaendelea nini?
Mnanshangaza!!!
Hapa kinaendelea nini?
Mnanshangaza!!!
We dem, kaa kimya uhojiwe. Afu we ni Jerman au Ajentie??
Wee shangaa tu,halafu muda wa kujenga taifa unafanya nini humu?
Pillow talk: mto unaongea....Hapa kinaendelea nini?
Mnanshangaza!!!
Sawa tuanze na kwako..kitu gani kilichokuonyesha ukajua hii ni power of love? namaanisha viashiria vipi