The Power of Levarage

Sasa, acha kujisumbua na kukomaa kuwa mbobezi ktk ishu moja. Jikite kusaka juzi nying nyingi especially za mambi ya fedha, watu, na uongozi.

Then tumia vision zako, tafuta VYURA KADHAA, MZEE.

Niko huko unaposema mzee baba
 
Tulikua tunajua tunapigwa as hatupo tena huko so wakawa wamechill tu had kaaga mwenyewee! Ila hakua na makuu

Mlikua mnajua mnapigwa sawa, kwani kila biashara ukimuweka mtu kupigwa lazima kwa namna yoyote ile
Ninachomsifu jamaa ni kwamba bado biashra yenu imesimama na yy kasepa kivyake. Na muda wote huu angalau faida ilikua inapatikana
 
Hapana..kulikua na wizi..Mafinga ni mji ulioendelea sana sana kibiashara
Kwa miaka 10 aliyofanya kazi nafikiri kama ni mchapakazi na mbunifu kuwa na mali zake inawezekana.Cha muhimu ni kama hajaua biashara yako.Yeye kufanikiwa kusikufanye ufikiri kwamba aliiba.Wizi upo ila kama amekaa 10 years basi huyo ni fighter na hardworker na kuna mambo unaweza kujifunza kutoka kweka.
 
😅😅huenda mkuu! Sio kwa mapato yale...lol
 
😅😅huenda mkuu! Sio kwa mapato yale...lol
Mkuu hapo ndo tunapokosea,Mafanikio sio kwa Mapato zaidi ni STRATEGY.Kuna watu wana mapato makubwa sana lakini bado hawapigi hatua katika biashara wala maisha kwa sababu wanakuwa ama na Strategy Mbovu au Execution Mbovu.Kwa ufupi I am challenging you kwamba uende ukaisimamie mwenyewe hio biashara theni uniambie kama revenue iliyopo hapo inaweza kuzalisha hizo assets alizo nazo.And please ukuwe na evidence kamilifu yaani matokeo.Naamini kabisa kuwa mfanyakazi kumuibia boss wake ipo ila ili mfanyakazi apige hatua kwa kuiba ni lazima awe very strategic tena kwa miaka 10 inahitaji pia discipline ya kipekee sana
 
Tulishafanya utafiti yakinifu...bahati mbaya boss mmiliki alikua ameridhika na mapato yale...vyumba vilikua vinajaa lakini inatumwa hela nusu...!..naifahamu hii biashara as naifanya pia migodini huku...! Hii angepata mapato walau kwa 85!angekuwa ana lodge nyingine mkuu...biashara lazima na ww uwepo...huwez sema alikua sawa withn 10yrs uwe na lodge nzuri kbs mbili..never
 
Mkuu,hapo ndipo wengi tunakosea katika biashara,Miaka kumi ni mingi sana kwa mtu kukaa kwako kufanya kazi.Kama ni mwanafunzi anaanza form one mpaka anapata degree.Ni muda unaotosha kabisa kwa mtu mwneye malengo.Mwenye lodge alikuwa anaridhika na MAPATO -HUU NDIO MSINGI.Kama alikuwa anafanya kazi yake vizuri basi nafikiri alipata anachostahili-FAIR WAGE.

SWALI LANGU NI JE unafikiri kwamba alimtia BABA YAKO HASARA katika biashara yake au aliisimamia vizuri?Unafikiri BABA yako angesimamia mwenyewe angetengeneza kiwango hicho cha faida?

LAZIMA tukubali kwamba alifanya kazi nzuri na ndio maana uliweza kaa naye for 10 years.USIONE uchungu kuhusu mafanikio yake hio ni sehemu ya BAraka yako.Kama biashara yako imeweza kumuinua yeye ina maana umeweza kufanya kitu kikubwa sana hapa duniani.

Badili fikra yako kwamba Mafanikio ni LOSE WIN hapana,MAfanikio yanaweza kuwa ni WIN WIN and BE happy for him.

Kuna mbinu nyingi za kufanikiwa ikiwa connection,na uvumilivu.KEEP IT UP
 
Hatutaki kusikia habari za network marketing

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usikubali kuingia katika Hilo Box,Unakuwa umelimit thinking yako kwa sababu ya presumptions ambazo hazikujengi.Tazama mtiririko wa Thread hutaona mjadala wa NETWORK marketing ingawa binafsi naona kwamba Ntwork marketing ni moja ya mbinu bora kabisa ya kutumia LEVERAGE sema sio GET RICH FAST kama wengi wanavyofikiri.USHAURI wangu TOKA NDANI YA BOX
 
Asante, nauchukua huo ushauri wako

Mie nimeshindwa ntapambana tu hadi kieleweke....! Kuna jitu nililiweka kwenye mikopo kifupi yy ndo akawa anatoa hela yake anaingiza kwwnye mzunguko wa kukopesha..so km una watu 500watu 100 wake🤧🤧!
Mkuu nafikiri tatizo sio watu,tatizo ni mfumo wako wa uendeshaji na mtazamo wako.Hayo mambo katika biashara yapo na huwa yanashughulikiwa kwa kuajiri watu sahihi,kuwa na strategic vision na pia kutumia mifumo ya usimamizi na ufuatiliaji.Inawezekana kabisa ni NIA tu.
 
Mi mwenyewe sielewi inakuwaje hii, nilifanya kazi kwenye dula la kuuza vocha la dingi mdogo miaka hiyo mwanzoni mwa 2000 ndo huduma ya simu za mkononi zinaingia ingia, nilikuwa nalala mpaka na 20k kwa siku na wala jamaa hakuwa anashtuka, haya mambo kazi kweli kweli, ila nimejifunza nikieka mtu lazima nikae nae mguu sawa.
Kama ulikuwa unaongeza bei za vocha kwa jumla sawa, kama ulikuwa unaiba faida ya nduguyo basi alikuwa kiazi kwelikweli.
Vocha zinahesabika hasara na faida mapema tu.

Una dhambi ya kumtia umaskini dingi ako mdogo.
 
Halikuwa duka la vocha pekee, kulikuwa na system ya kupiga simu mfano sknde 1 mpaka dkk 3 buku, hapo mtu aijalishi ametumia dkk ngapi mi nilikuwa nafidia kwenye wale waliokuwa wanapiga chini ya dkk 3 maana bei ni ile ile, na ilikuwa stendi, wewe!
 
Back
Top Bottom