The Power of Catholic church in TANZANIA

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
337
Reaction score
1,945
Huwa hawakurupuki kufanya Jambo lao

Ni kanisa lililojaa majasusi mpaka wavaa baragashia.

Hawa ndio serikali kubwa kuliko zote duniani.

Hawana ndio wanashikilia uchumi wa dunia kupitia kupitia mifumo ya kibenki wakishilikiana pamoja na Israel.

Je wajuwa ndio usimika Ma-Rais wa nchi zote zisizo endeshwa kidini?

Je wajua upika wao majajusi na uwajaza Ikulu na kwenye vyomba vya serikali kuwasaidia kukusanya, kuchakata taarifa za kiuchumi, kisiasa hata kiusalama ?

Report zote chafu zinakuwa mezani mwao kabla na baada ya matukio mbali mbali kufanyika?

Kikubwa zaidi je wajua kwamba Shekh mkuu wa TANZANIA anashirikiana vilivyo na Viongozi wa kanisa katoriki ? kuliko hata anavyoshirikiana na serikali ?

Wao ufanya kazi polepole na kwa Malengo ya muda mrefu inapobidi Kama mwaka huu ndio ufanya maamuzi kwa Malengo ya muda mfupi?

Haya maombi sio bahati mbaya hata kidogo

Unaweza ukamuona mtu unacheka naye na amevaa kanzu ukadhani ni mwenzako kumbe kwenye korido yupo kwa maslahi ya Taifa

Mafisadi kaeni kwa kutulia hii mechi ndio kwanza dakika ya 15.

Nawaambia mkishupaza shingo hakuna uchaguzi mwaka huu.
 
Bila Reforms kufanyika kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya,

Uchaguzi batili UTAYEYUKA.

No Reforms no Election 💪 🔥
 
Tutaona kwa Tanganyika maana wanasema ni vita ya Muslims na Christians.

Kwa sisi hili lililopo ni funzo kwetu, hatuamini mpaka tuone nani atashinda.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Bila Reforms kufanyika kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya,

Uchaguzi batili UTAYEYUKA.

No Reforms no Election 💪 🔥
Na hapo ndio kabisa na misiki imesimama

Ila Kuna wahuni wanaitumia baadhi misikiti na makanisa ya kifisadi kupenyeza ajenda zao za udini

Hawatakaa wafanikiwe wazalendo hatunaga dini
 
Bila Reforms kufanyika kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya,

Uchaguzi batili UTAYEYUKA.

No Reforms no Election 💪 🔥
Nakazia.

Chura kiziwi anaelekeza kichwa kibra bila shuruti
 
Huwa hawakurupuki kufanya Jambo lao

Ni kanisa lililojaa majasusi mpaka wavaa baragashia.

Hawa ndio serikali kubwa kuliko zote duniani.

Hawana ndio wanashikilia uchumi wa dunia kupitia kupitia mifumo ya kibenki wakishilikiana pamoja na Israel.

Je wajuwa ndio usimika Ma-Rais wa nchi zote zisizo endeshwa kidini?

Je wajua upika wao majajusi na uwajaza Ikulu na kwenye vyomba vya serikali kuwasaidia kukusanya, kuchakata taarifa za kiuchumi, kisiasa hata kiusalama ?

Report zote chafu zinakuwa mezani mwao kabla na baada ya matukio mbali mbali kufanyika?

Kikubwa zaidi je wajua kwamba Shekh mkuu wa TANZANIA anashirikiana vilivyo na Viongozi wa kanisa katoriki ? kuliko hata anavyoshirikiana na serikali ?

Wao ufanya kazi polepole na kwa Malengo ya muda mrefu inapobidi Kama mwaka huu ndio ufanya maamuzi kwa Malengo ya muda mfupi?

Haya maombi sio bahati mbaya hata kidogo

Unaweza ukamuona mtu unacheka naye na amevaa kanzu ukadhani ni mwenzako kumbe kwenye korido yupo kwa maslahi ya Taifa

Mafisadi kaeni kwa kutulia hii mechi ndio kwanza dakika ya 15.

Nawaambia mkishupaza shingo hakuna uchaguzi mwaka huu.
Bi kilemba kashashupaza shingo mtamfanya nini?? Kaziba masikio pamba, mtapiga kelele mpaka mchoke yeye anasonga mbele. Tumwombee a-bleed miezi yote miwili ya kampeni
 
🤔
Ni Kama wengi wamekuwa na maono ya kitu cha namna moja ila kwa mtazamo usiofanana. Je hii ni just coincidence?
 
Bi kilemba kashashupaza shingo mtamfanya nini?? Kaziba masikio pamba, mtapiga kelele mpaka mchoke yeye anasonga mbele. Tumwombee a-bleed miezi yote miwili ya kampeni
Kumbe hajafika mtaa wa Menopozi?
 
Mtaongea Kila aina ya neno, mtawasifia kili wanaokosoa raisi na kimkejeli mgombea wa ccm. Lakini kaani mkijua Leo tarehe 17 na siku zinaenda soon atakula kiapo na ndio mwisho kelele mitandaoni.
 
Back
Top Bottom