The Other Half (Simulizi)

Kabisa Mkuu.. There must be something more to this life..

Jumamosi tutaanza hii simulizi mubashara kabisa..
 
The bold, ukifanya utafiti jiridhishe bila shaka kuwa dunia hii inamiaka, mingapi? Maana kwa mjib Wa bandiko lako mkuu dunia inamiaka billion 4 jambo ambalo sina uhakika kama ni kweli

Kwa mjib Wa kitabu ninacho kiamini sana cha biblia dunia inauhai Wa miaka elfu 6s na uthibitisho upo..

Hivyo njoo na editing pia kama hautojari au uthibitisho Wa kile ulichokisema b4 .....

Kimsingi nasubr kusikia kutoka kwako@the bold
 
Mkuu Ls man,

Huu sio mjadala wa kidini au imani.. Hii ni "Simulizi"..

Kwahiyo naomba tuepuke kabisa kuhusisha huu uzi na mambo ya dini.. Just sit back and relax!!

And ofocz enjoy it..
 
Buradani imerudi tena maana Mamba pamoja na balaa lake kiboko anaishi majini bila bugudha yoyote basi mkuu nawe Uandishi ni moja vitu vinakufanya, vitakufanya uishi na kuburudika fanya yaliyo karama pamoja sana.
 
Group itakuwa inakimbia fasta.. Episode zitaruka kila siku.!
ngoja nikwambie mkuu group lako Lipo safi sana na sheria ulizoweka zipo poa sema shida ni kwamba kuna kipindi unaahidi nitaamka post katika nusu saa ijayo hapo yanaweza kupita hata masaa Sita au leo nitaweka na usiweke au kama ni usiku unaahidi utaweka lkin mpk asubuhi hakuna ni changamoto inabidi uzifanyie kazi ni bora usiwe unasema kabisa
 
Buradani imerudi tena maana Mamba pamoja na balaa lake kiboko anaishi majini bila bugudha yoyote basi mkuu nawe Uandishi ni moja vitu vinakufanya, vitakufanya uishi na kuburudika fanya yaliyo karama pamoja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…