The old school swaga

The old school swaga

I still take it all very well, it was a lot of love bro. Machalii wa kitaa walikuwa wananigwaya.

ndo maana nasema uamkie. Hehehe MARHABAAA!
mie 1992 nshaota manyonyo hata kombolela nilikuwa sichezi. Pambana na homework balaa
ila hata mimi nilikuwa darasa la pili nilichelewa kuanzishwa kwasababu nilikuwa siwezi kulishika sikio langu.
Nalog off
 
MTAZAMO njoo huku ushushe nondo za ki-old skul!

Duh! old skul ya akina DJ Richie Dillon nilikuwa bado yanki saaaaana mkuu! DJ Bonny Love at least nimemfaidi zaidi late 90s lakini sifa za huyu DJ Richie Dillon nimezisikia sana nadhani ndio maana DJ John Dilinga alimualika kwenye the legend is back anniversary ili awape raha vijana wa wakati huo pale Isumba Lounge.

Ngoja nikuitie wenyewe walioruka nao majoka wakiona hiyo picha watakumbuka mbali zaidi! Pasco Kiranga Kobello companero (huyu kaadimika kweli) , Mzee Mwanakijiji Jasusi na wengine kibao.
 
Last edited by a moderator:
DJ Bonny Love anastahili kupewa hata viji share pale mawingu katoka nao mbali saaaaaaana! Nyani Ngabu hebu mwambie Joe ampe Bonny japo share pale Clouds Media lol!!!
 
Last edited by a moderator:
Duh! old skul ya akina DJ Richie Dillon nilikuwa bado yanki saaaaana mkuu! DJ Bonny Love at least nimemfaidi zaidi late 90s lakini sifa za huyu DJ Richie Dillon nimezisikia sana nadhani ndio maana DJ John Dilinga alimualika kwenye the legend is back anniversary ili awape raha vijana wa wakati huo pale Isumba Lounge.

Ngoja nikuitie wenyewe walioruka nao majoka wakiona hiyo picha watakumbuka mbali zaidi! Pasco Kiranga Kobello companero (huyu kaadimika kweli) , Mzee Mwanakijiji Jasusi na wengine kibao.
Hehehe!
 
295526_542252219131215_1640821042_n.jpg


kabla sija-shusha nondo za ki-old skul picha hii imenifurahisha mno!
Hapa Ruge anayewanyonya watu hakuwepo na hajui hata Clouds ipoje!!
Nikirudi ntashusha nondo zaidi.....
 
hahahaaa...... Hiyo itakuwa ni urithi wa bibi aisee maana farkhina mwenyewe ni wa utawala wa enzi za mkapa nilikuwa nambeba mwenyewe mgongoni

Hahaahahaha alafu siku nyengine nkishiiii wanifinya lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom