The old school swaga

The old school swaga

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
602094_543043555718748_512467370_n.jpg
295526_542252219131215_1640821042_n.jpg
 
When music was music! Hahaaa checki date hapo ni 24/7/1992. Ticket buku miaka hiyo nilikuwa na punk km Hilo la huyo dogo. Kiwanja empress cinema, Dah tumetoka mbali
 
Wanamuziki wazamani walikuwa creative sana sio sawa na wa sasa
 
Kwenye list ya 'Raiders Pose' Kuna alibaki hai bado?
 
Afu uwe unaniamkia. Mie 1992 nilikuwa naweza afford ticket ya kwenda disco kwa kusave pocket money yangu. Sema sasa ningekutana na kina kaka Kaizer ningepata kipondo.
hapana sio wa zamani kihivyo ila niliwakuta wazee wakivaa hivi vitu,mambo ya zamani yalikuwa matamu sana tofauti na sasa.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Afu uwe unaniamkia. Mie 1992 nilikuwa naweza afford ticket ya kwenda disco kwa kusave pocket money yangu. Sema sasa ningekutana na kina kaka Kaizer ningepata kipondo.

haaa na tulivyokuwa wakali King'asti, no wonder ulienda unovisi kwa mwaka mmoja kabla hujawa na plan nyingine
 
Shikamoo bi dada ila mwaka 1992 mimi nilikuwa nimeshaanza kucheza kombolela.
Nalog off
 
I still take it all very well, it was a lot of love bro. Machalii wa kitaa walikuwa wananigwaya.
haaa na tulivyokuwa wakali King'asti, no wonder ulienda unovisi kwa mwaka mmoja kabla hujawa na plan nyingine

ndo maana nasema uamkie. Hehehe MARHABAAA!
mie 1992 nshaota manyonyo hata kombolela nilikuwa sichezi. Pambana na homework balaa

Back
Top Bottom