Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Katika kiapo cha jana cha Maalim seif,Zitto alionekana mwenye aibu,fedhea na msongo wa mawazo.Hii inathibitisha kuwa anajua walilolifanya ni usaliti kwa wanachama wao ambao wamekufa,kuumizwa,kutengenezewa vilema vya kudumu,kuteswa na kufungwa kwa ajili ya kutafuta haki na wala siyo kwa ajili ya kutafuta maridhiano kupitia vyeo katika serekali bandia ambayo haina kibali cha wananchi.