The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,817
Hiyo ya notification na quality ya picha nilizani ni kwangu tu, kumbe kila mtu. Aisee wazifanyie marekebisho.MESSAGE/ PM
Unasoma msg uliyotumiwa lakini bado unaonekana hujasoma
NOTIFICATION
Leo kama siku ya 3 sipati notification. So kamasijakagua mambo yananipita tuu
SIGNATURE
Naona now wanedisable hii fiture bila taarifa.
EDITING
Mfano nimefungua uzi, na baadae nataka niweke picha kwenye uzi wangu haiwezekani mapaka ni Reply kama mchangiani wakati mm ndio mwenye uzi
QUALITY OF Picture.
Hiii ndio inanikera zaidi. Unaweka Picha nzuri ina quality na resolution nzuri, lakini ukiiupload to JF inapunguzwa inakuwa kituko. Kama kuna maneno basi hayatasomeka.
GOOGLE Ads.
Daaaaaah hizi zinakera sana japo sasa hivi wametoa
Pia hapo ambapo muweka uzi hauwezi kuufuta au kuongeza picha, inatakiwa wapaangalie sana