Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,253
- 44,595
Vyanzo vya KLHN ambavyo weekend hii vilikuwa vinazunguka zunguka Dubai vinadokeza kuwa wanaohusika na mradi wa Dowans na marafiki zao wamekuwa na "kikao" huko Dubai, UAE. Miongoni mwa wahusika ni Edward Lowassa na Nazir Karamagi. Peter Serukamba naye ameruka majuu kupitia Uswisi akieleleka NY ambako ameulizia habari za "mwanakijiji" ili anipe nafasi ya kusikia "upande wa pili".
Mkutano wao wa Dubai umekuja siku moja baada ya tukio ambalo kwa sasa linabakia kifuani. Nilitarajia wangefanya move yao, lakini sikutarajia wafanye move hiyo ASAP.
Na wale wabunge wawili ma"dokta" nao salamu zao nimezipata loud and clear. Nawashauri mikutano yao bora waifanyie humo humo Tanzania.. yule nzi katotoa!
Chess: It is your move.
Mwanakijiji,
........nimefurahi kusikia ka-inzi kametotoa
Wasahau. Nchi hii haitaendelea kutafunwa tena kama zamani. Washukuru wametoka salama MADARAKANI.
Jamani mi nauliza hivi serikali haiwezi kutaifisha mitambo ya dowans? Na je kwa nini Idris Rashid asifukuzwe kazi?
Mkuu huwezi kujua hao jamaa wanataka kucheza karata gani. Lakini swali linakuja kwanini waruhusiwe kutoka nje? Hapa tayari kuna mengi sana ya kujiuliza. Ndani kuna namna fulani ya kubanwa naona wanatafuta breathing space na launch pad ya makombora yao. Kuelekea 2010 tutaona mengi yakufurahisha, huenda wamekwenda kukusanya hela za mission zao.
Mkuu,
Kwenda kwao nje hakuna wa kuwazuia. Si unajua walijiuzuru nafasi zao kwa kuwajibika tu! Tumwombee Mzee Mwanakijiji ka inzi kaendelee kutotoa tu.
Ni weekend huu mkutano umefanyika au ni katika weekend hii vyanzo vyako vilikuwa vinazunguka huko dubai?Vyanzo vya KLHN ambavyo weekend hii vilikuwa vinazunguka zunguka Dubai vinadokeza kuwa wanaohusika na mradi wa Dowans na marafiki zao wamekuwa na "kikao" huko Dubai, UAE. Miongoni mwa wahusika ni Edward Lowassa na Nazir Karamagi. Peter Serukamba naye ameruka majuu kupitia Uswisi akieleleka NY ambako ameulizia habari za "mwanakijiji" ili anipe nafasi ya kusikia "upande wa pili".
Mkutano wao wa Dubai umekuja siku moja baada ya tukio ambalo kwa sasa linabakia kifuani. Nilitarajia wangefanya move yao, lakini sikutarajia wafanye move hiyo ASAP.
Chess: It is your move.
Ni weekend huu mkutano umefanyika au ni katika weekend hii vyanzo vyako vilikuwa vinazunguka huko dubai?
Manake itashangaza Lowassa awe Dubai na wakati huohuo awe Dodoma kwenye vikao vya CCM!
Heshima mbele Mkjj
Mimi naamini huu mjadala wa Dowans haukutakuwa kufika hapa ulipofika, na siyo vizuri hata sisi wa JF kusimama kumtukana Dr Idris kwamba amenunuliwa. Mimi nilimwangalia kwenye taarifa ya habari mwenyewe ya TBC, akielzea hali ya umeme ilivyo nchini na akasisitiza, SIYO LAZIMA DOWANS, lakini hali ni tete, wameenda kwa serikali wanaomba solution. Kwa common sense ya kawaida, DOWANS ni ideal, kwasbababu zote za msingi - technically and commercially, lakini kama siasa zetu zinasumbua, serikali ije tu na kusema solution nyingine, haina haja ya sisi kulumbana.
Nilimwona EL kwenye ITV jana akiwa Dodoma kwenye NEC, lakini hivi kweli ataweza kukaa kikao ambacho Intelligence haina taarifa nazo, i doubt it.
Vyanzo vya KLHN ambavyo weekend hii vilikuwa vinazunguka zunguka Dubai vinadokeza kuwa wanaohusika na mradi wa Dowans na marafiki zao wamekuwa na "kikao" huko Dubai, UAE. Miongoni mwa wahusika ni Edward Lowassa na Nazir Karamagi. Peter Serukamba naye ameruka majuu kupitia Uswisi akieleleka NY ambako ameulizia habari za "mwanakijiji" ili anipe nafasi ya kusikia "upande wa pili".
Mkutano wao wa Dubai umekuja siku moja baada ya tukio ambalo kwa sasa linabakia kifuani. Nilitarajia wangefanya move yao, lakini sikutarajia wafanye move hiyo ASAP.
Na wale wabunge wawili ma"dokta" nao salamu zao nimezipata loud and clear. Nawashauri mikutano yao bora waifanyie humo humo Tanzania.. yule nzi katotoa!
Chess: It is your move.
Yaani nchi nzima inatetemeshwa na watu watatu tu!!!!!
Ni weekend huu mkutano umefanyika au ni katika weekend hii vyanzo vyako vilikuwa vinazunguka huko dubai?
Manake itashangaza Lowassa awe Dubai na wakati huohuo awe Dodoma kwenye vikao vya CCM!
watakuwa wana mikakati wabovu kabisa ...kwenda ziarani wakati huu wa kikao cha NEC nao ni wajumbe ..obvious kila mtu angewaulizia...untimely....
sote tumemuona edward akiwa ni mwingi wa furaha mjini Dodoma. Kainzi kafanye home work yake upya
Habari nyingine, sasa sijui nijadili ya kifuani!!!, ama sijui niijadili hiyo move ambayo haikutarajiwa ifanyike ASAP ambayo haijatajwa. Kama ka-nzi kametotoa, basi na Lowassa atakuwa katotoa kama alivyokuwa Saddam (tuliambiwa wako zaidi ya mmoja), manake Lowassa mmoja yuko Dom na mwingine Dubai!!!.