The new money masters by John Train

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Msaada jamani,
Natafuta soft copy ya kitabu kinachoitwa " The new Money Masters" author wake ni John Train

Mwenye kuweza kuniwekea link nitashukuru sana!
514Y8CJ9BYL__BO2,204,203,200_PIsitb-sticker-arrow-click,TopRight,35,-76_AA300_SH20_OU01_.jpg
 
wakuu Shy, njiwa, paka jimmy na wataalamu wengine wa IT naombeni msaada wenu!
 
Mkuu Ameoba kama ukipita mitaa hii, naomba unisaidie kukipata hicho kitabu! ni muhimu sana kwa wajasiriamali wa leo!
 
Back
Top Bottom