The Nape Question!

The Nape Question!

Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?

Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?

Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Sifa za magu
1.kukurupuka
2.kumlinda bashite
3.kupiga ngoma
4.kuangalia shilawadu
5.kuminya demokrasia
6.uchwara
7.vitisho
8.Vuvuzela
 
Nape ana mapungufu yake lakini sifikirii ktk CCM Kama kuna mwenyewe uwezo wa kufikiri Na kuishi ktk misingi ya uadilifu Na kutenda haki bila kuangalia maslahi ya chama kumshinda nape. Kwa ufupi uwezo wa nape wa kufikiri ni mkubwa . (Ukitaka uishi Na CCM au uwe CCM ni lazima ujijaze UJINGA kwanza bila hivyo hutoweza kuishi nao au kuwa nao ktk chama ) inaelekea nape yupo ktk kujivua UJINGA.
 
Kwahiyo Leo Nape kawa mbaya? With all that sacrifices kwa chama cha majambazi? Kuweni na shukrani kidogo
Mmmmh! Hapana! Kila aina ya mbwa ana uwezo wake. Kosa ni kumfuga Afghan hound halafu unamlazimisha afanye kazi kama German shepherd. Ukimtumia mtu ktk kampeni akafanikisha kazi hiyo, siyo lazima umpe uwaziri na aweze. Ni makosa ya wazi.
 
Sifa za magu
1.kukurupuka
2.kumlinda bashite
3.kupiga ngoma
4.kuangalia shilawadu
5.kuminya demokrasia
6.uchwara
7.vitisho
8.Vuvuzela
Miaka hii itakwisha mukiwa mumeumizwa! Hebu taja sifa za rais aliyepita tuone!
 
Sifa za magu
1.kukurupuka
2.kumlinda bashite
3.kupiga ngoma
4.kuangalia shilawadu
5.kuminya demokrasia
6.uchwara
7.vitisho
8.Vuvuzela

Lakini Magufuli kama Raisi wa Nchi ameshafikia zenith ya career yake, hakuna juu ya hapo hivyo ni sawa, shida ni hawa wa huku chini wasio na profession yoyote isipokuwa majungu, uongo na fitina na bado umri ni mdogo, unafanya nao nini?
 
The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??

Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?

Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Wewe ndo kila.za sasa kwa taarifa yako. Siyo unaropoka tu.
 
The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??

Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?

Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Mbona uyu mkuu n bavicha
 
Nape moses nnauye, kapita kwenye misukosuko mingi kisiasa, na ukiangalia o kama alikuwa kapumzika tuu, na sasa Sie wenye jicho LA tatu tumeshaona kwamba nape anaanza tena safari zake za misukosuko tena ya kisiasa na haya Kwa uzoefu wangu no mepesi sana ukilinganisha na aliyopambana nayo kisiasa hata ukizingatia na umri wake, na siku zote amekuwa akipanda sasa sijui hill atapanda zaidi au ataporomoka? Siasa za Tanzania ni kama homa za vipindi kupanda na kushuka ila nape hajawahi shuka kisiasa ila ngoja tuone safari hii itakuwaje?
 
Nape amesoma na angalau amepata digrii ya pili tena kwa jina lake mwenyewe. Nape Moses Nnauye kapata degree ya pili ambayo ndio ubobezi wake huo. Bashite kwa kutumia jina la Paul Makonda alijaribu Master degree akadisko kwa hiyo kumsapoti kilaza mwizi wa vyeti kwa kumponda mtu mwenye professional huku ujifanya haujui kama anayo Ni umbulumundu, Ni akili ya maiti
 
Ruge kutumia airtime ya kutosha kwenye kipindi kuongelea issue ya kituo chake kuvamiwa iliali mvamizi hajapewa air kuzungumzia kwa nini amevamia...nayo tunaiita balancednews?ooooohhhhhh Tanzania ya wadku na wasanii
Ungekuwa wewe ungempa?au ni ushabiki maandazi tu umekujaa
 
Ruge kutumia airtime ya kutosha kwenye kipindi kuongelea issue ya kituo chake kuvamiwa iliali mvamizi hajapewa air kuzungumzia kwa nini amevamia...nayo tunaiita balancednews?ooooohhhhhh Tanzania ya wadku na wasanii
ruge used to be ccm's sweetheart,what happened!!!!!!
 
Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?

Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?

Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Du!! ama kweli tenda wema uendezako leo hii wewe purukututu ukijikuna unapukutika ukurutu ... ni wa kumwambia Nape maneno haya!!!

Nape amekijenga chama ... amekipigania chama leo Nape ukamfananishe na yule zero wa Koromije, anaeongea kama katafina vipande vya chupa!!!

Seriously? Sikia niwaambie dhambi sikuzote haishii katikati ikapotea ... dhambi lazima ifike mwisho ... ndio maana kuna msemo wakasema "mshara wa dhambi ni mauti"
 
Lakini Magufuli kama Raisi wa Nchi ameshafikia zenith ya career yake, hakuna juu ya hapo hivyo ni sawa, shida ni hawa wa huku chini wasio na profession yoyote isipokuwa majungu, uongo na fitina na bado umri ni mdogo, unafanya nao nini?
Si ndio wameaminiwa na mkuu wako?Au unampinga wakati yeye amesema hapingwi?Halafu hilo swali ungelielekeza kwa makonda pia
 
Back
Top Bottom