barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Ebu andika alivyotakiwa kuandika basi!The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??
Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?
Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Ebu andika alivyotakiwa kuandika basi!The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??
Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?
Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Brother ushauri mzuri, ungewai kuwashauri ata CHADUMAA kwa matusi waliomtukana Dr Slaa Leo ningeona umezungumza kutoka moyoni
Adharusi unaweza kutumia sukari Kama kiungo kwenye mboga lakini huwezi kutumia chumvi kwenye chaiMkuu kuandika hivi kuhusu NAPE unakosea sana huyu ni mtu muhimu sana ndani ya chama.......Hapa la kumlaumu NAPE au MWIGULU juu ya MAKONDA ni wao kushindwa kuona MAKONDA ana kosea na kuamua kumwita pembeni kama MDOGO WAO na kukaa nae chini na kumpa USHAURI kwa yale wanayoona anakosea na si wao especially NAPE kuja adharani na kumkosoa MAKONDA as if si VIONGOZI toka CHAMA kimoja...hapa ndipo NAPE ANAPOKOSEA......
Makonda bado si mjuzi kisiasa UKIMLINGANISHA na level alizofikia NAPE AU MWIGULU......
Leo yamekuwa haya.. Unamjua Nape kweli au kupitia magazeti tu.. Hebu ka google sentensi "ccm kujivua gamba" afu urudi tuje tujadiliane vizuri kwa hojaKwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Kashasema yeye urais ni wake,hakuna wa kukwambia chochote!Ndio Rais,chaguo la watanzania kwa miaka 10....hao wezi wastaarabu kaa nao
Hivi bwana mdogo nasikia hashauriki na anawadharau sana mawaziri so watasemelewa kwa baba kuwa wanaingilia mandate ndo maana hakuna wakumshaur daudiMkuu kuandika hivi kuhusu NAPE unakosea sana huyu ni mtu muhimu sana ndani ya chama.......Hapa la kumlaumu NAPE au MWIGULU juu ya MAKONDA ni wao kushindwa kuona MAKONDA ana kosea na kuamua kumwita pembeni kama MDOGO WAO na kukaa nae chini na kumpa USHAURI kwa yale wanayoona anakosea na si wao especially NAPE kuja adharani na kumkosoa MAKONDA as if si VIONGOZI toka CHAMA kimoja...hapa ndipo NAPE ANAPOKOSEA......
Makonda bado si mjuzi kisiasa UKIMLINGANISHA na level alizofikia NAPE AU MWIGULU......
The Bashite questionKwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Hicho kiingereza ni sahihi, wewe tu kihiyo hujui kitu !The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??
Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?
Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Yeah! Nimeridhika kwa zile suti zilizopata umaarufu eti kapewa na mzungu. Ongeza mcheza disco, mzee kijana, profesa, daktariVasco Dagama, Smilinig boy, Msikivu asiyejibu, Mpenzi wa wanamziki hasa Diamond, Diplomat guy aliyeweza tembea na kutembelewa na viongozi wenye ushawishi duniani, Mlegeza uchumi wa nchi lakini mleta fursa kwa wanaoweza ku lobby, mpenzi wa dini yake na mhamasishaji wanawake kujisetiri vichwa na miili yao mfano uhamiaji bila mikono mirefu na suruali kubwa huingii au sketi ndefu. Duh hujalidhika tu?
Ila unaweza kutumia kiungo katika mboga au uji![]()
![]()
![]()
Adharusi unaweza kutumia sukari Kama kiungo kwenye mboga lakini huwezi kutumia chumvi kwenye chai
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
We ni choko tuKwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?
Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?
Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
It's a billion dollar question....Ila kuna Wanaharakati kama kawaida yao watatukana na kubeza.Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?