Namba 4 naona anataka kujiua, Lakini anaweza kuamua kuishi kwa kuacha kukata. His fate is in his own hand.
Namba 3 is smart guy, amna mtu anaweza kumuua. Lakini yeye anaweza kuwaua wengine.
Namba 2 anaweza kuuwa na namba 1. lakini pia yeye anaweza kuuliwa na namba 3.
Namba 4 yeye hana uwezo wowote, anaoana mtu anataka kumuua lakini bado amekaa pale. Kwanini hata ajaribu kumshambulia, au kuondoka, try to do something, anything.
Ni kama mtu anakwambia ninataka kukuua leo, Halafu anachochesha msumemo halafu unaona anajaribu kukushambulia kidogo kidogo halafu wewe ndio umekaa pale kimya. Kwanini hata auwezi kukimbia. Ananza kukata mkono wako wewe bado uko kimya, mguu wewe kimya, anaamua kukukata shingo bado uko kimya. You must be extremely stupid. But i might be wrong.
Haya ni maoni yangu. This is supposed to be fun thing and light entertainment. Sisi wote tuna maoni tofauti. Maoni yoyote yanaweza kuwa sawa kutokana tulipotokea. Respect, peace and harmony to one and all. I am out.