The most expensive website

The most expensive website

Nadhani thread yako imekosa wachangiaji kwakuwa inahitaji mtu kwenda deep kusoma.

Maelezo yenyewe katika mtandao huo yanasema hivi: The British Government has inadvertently created a record for the most expensive website by spending an incredible £105 million for their websitebusinesslink.gov.uk It is the government's official site that offers free business advice and support service.

Kwahiyo hii ni link ya website yenyewe:
Business support, information and advice | Business Link

Nadhani nitakuwa nimetoa mwanga kidogo hapo.
 
105£ over 3 years haiwezi kuwa most expensive, facebook inakula $600 million kila robo mwaka.
 
Kusema 'most expensive' labda kwa government website. Facebook, Google.com unadhani ni chini ya hiyo?
 
Back
Top Bottom