Hiyo history imeanza lini hadi huyu ndo akawa the most evil of them all?
Ndivyo ilivyokuwa published may be na wale ambao wanahisi kuwa hivyo (Americans, Israel, or British)
Hiyo history imeanza lini hadi huyu ndo akawa the most evil of them all?
Mwalimu hujambo,
ngoja nikuhabarishe na hio title to put you in perspective.
Hii ni mojapo ya kanda katika History Channel ambayo main title ni "The Most Evil Men of The World".
Kuna orodha ya watu kibao tangia medieval times kama Attila the Hun mpaka hawa modern day
dictators kama Pot Pot na Idi Amin.
Kwa ufupi hii ni mojapo tu ya kanda kibao tu na sio Idi Amin pekee yake.
Good day.
kumbuka Mandela walimwita terroristHabari nzuri Ticha.
Hizo documentaries nazijua pamoja na ndugu zake "The Most Evil Women in History"
Hoja yangu kuu ni kwamba hizi documentaries zimejaa perspective za Kimagharibi
Jee sisi Waafrika tunakubaliana na hizo "Tittles"?
Tunapoambiwa Iddi Amin alikula watu, tumetafuta ukweli au tunakubaliana tu na hao publishers wa Magharibi?
Na ili mtu aingie kwenye orodha hiyo ya "The Most Evil Men in History" awe amefanya nini?
Mwalimu hujambo,
ngoja nikuhabarishe na hio title to put you in perspective.
Hii ni mojapo ya kanda katika History Channel ambayo main title ni "The Most Evil Men of The World".
Kuna orodha ya watu kibao tangia medieval times kama Attila the Hun mpaka hawa modern day
dictators kama Pot Pot na Idi Amin.
Kwa ufupi hii ni mojapo tu ya kanda kibao tu na sio Idi Amin pekee yake.
Good day.
George Bush naye na vita yake ya kutafuta mafuta Iraq wanamwitaje huko mnakoangalia vya kizungu ?
Hamuitafuti historia halisi ya Tanganyika na mkaijua Historia yenu ?
Vita ya kagera ilikuwa vita kati ya UISLAM na UKRISTO
Habari nzuri Ticha.
Hizo documentaries nazijua pamoja na ndugu zake "The Most Evil Women in History"
Hoja yangu kuu ni kwamba hizi documentaries zimejaa perspective za Kimagharibi
Jee sisi Waafrika tunakubaliana na hizo "Tittles"?
Tunapoambiwa Iddi Amin alikula watu, tumetafuta ukweli au tunakubaliana tu na hao publishers wa Magharibi?
Na ili mtu aingie kwenye orodha hiyo ya "The Most Evil Men in History" awe amefanya nini?
Hizo ni Propaganda, The Last nd King of Scotland sio Iddi Amin wa Uganda..