jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Na Tanzania kichwa cha mwendawazimu inashika nafasi ya ngapi? Hawa waliuana kwa maelfu miaka 21 iliyopita (1994) lakini pamoja na "amani" ya miaka 54 na utajiri mkubwa wa rasilimali tunarudi nyuma kimaendeleo, lakini kwa wajinga walio wengi Tanzania hawalioni hili bado wanataka kuendelea kuchagua hawa wahuni waliosababisha hali ya nchi kuzidi kudidimia ukilinganisha na baadhi ya nchi za Afrika.
1. Historia yao haianzii 1994, inaanzia 1958, Rwanda sio nchi mpya.
2. Soma ripoti inaelekea hata hujui kilichoshindanishwa ni kitu gani. Kwa taarifa yako kwenye orodha, pamoja na Tanzania, Rwanda imezipiku Marekani, Uingereza, Ujerumani, China, Korea, Russia......HAO NAO NI VICHWA VYA WENDAWAZIMU?