The most efficient Governments

The most efficient Governments

Bongolala ana mawazo yake na mimi nina mawazo yangu. Yeye kasema "Safi rwanda,tanzania bla bla tuu". Mimi nikajiuliza mbona raia wa hiyo Rwanda "safi" wanakimbilia Tanzania nchi "blah blah"? Huo ni uwongo au fact mkuu? Mi nadhani wewe ndio mwenye povu kwa sababu unachotakiwa kufanya ni either kubisha the fact kuwa Wanyarwanda wanakimbilia bongo na fact kuwa HAKUNA watanzania wanakimbilia Rwanda. Ukiweza kupangua hiyo fact kwa uthibitisho, i will gladly accept mimi natokwa povu, otherwise basis ya kusema hoja zangu ni povu ili hali huwezi kuzipinga ni nini? Mahaba na Kagame?
cc: MK254

we wacha kumtisha, hoja zako ni povu mwanzo misho! we jMali na Interahamwe wenzako ndio mmeyaleta haya yote... tokea mkimbie mpaka leo Rwanda mmemifanya iwe ya "breaking news" kila siku, mtu hata akifa kwa ajali magazeti yenu lazima ya rukie na kumchomeka Kagame na RPF... wacha nikupe mfano wa karibu, unakumbuka tarehe 14-12-2015 msichana wetu mwanafunzi Lynker Kabera RIP alipo fariki kwa ajali kule Texas? hata hamkuchelewa kumpakazia Kagame... lakini ukweli ukawa ndio huu Rwandans in the Diaspora unite in loving memory Lynker Kabera and Sandra Ineza we jMali na mafra wenzako kwa kusudi, mmewafanya wanyarwanda wenzenu wafanikiwe kupata ukimbizi popote waendapo, hata kipindi nilikuwa ulaya kimasomo nilikutana na wabongo wengi walioomba ukimbizi kwa kujifanya wanyarwanda! upo hapo? wakimbizi wa kibongo tulionao ni wakiuchumi, wenye pesa na vyeti vyao... kwa kifupi ni kama wale ndugu zako wanyarwanda wanaokuja huko kutafuta malisho ya ng'ombe zao...
 
wewe sio raia kabisaaaa, kichwa cha mwendawazimu ni msemo aliotengeneza rais wa awamu ya pili Ali hassan Mwinyi kuhusu timu yetu ya mpira Taifa stars. It has nothing to do with maendeleo at all! Rudi kwenu tu mzee.
cc: JustDoItNow

Wewe sio mTanzania bhana, tumeshakuona kwenye post zingine, embu acha kutumia "yetu" wakati na wewe una 'kwenu' jisemee amavubi na ujinga ujinga mwingine huko.
 
Last edited by a moderator:
WE interahamwe kula kuna, kalia kuomba omba ubwabwa huko uswahilini,damu za watoto wachanga uliowaua ndo hizo hizo zinakusababisha usipate usingizi ukimuazia kagame!!!!!utachambwa hadi mwisho,naole, ole wako urudi huku utaiona mvua yamasika.
 
Wewe sio mTanzania bhana, tumeshakuona kwenye post zingine, embu acha kutumia "yetu" wakati na wewe una 'kwenu' jisemee amavubi na ujinga ujinga mwingine huko.
Mjinga ni wewe unayefungua ID mpaka za majina ya kike wakati ni mwanaume.
 
we siyo mtanzania,that is no sense!!!!! nani alikuambia wewe mtanzania?,mama yako atakuwa kakudanganya na sasa hivi sioni hadhi yakujivunia utanzania.
 
Bongolala ana mawazo yake na mimi nina mawazo yangu. Yeye kasema "Safi rwanda,tanzania bla bla tuu". Mimi nikajiuliza mbona raia wa hiyo Rwanda "safi" wanakimbilia Tanzania nchi "blah blah"? Huo ni uwongo au fact mkuu? Mi nadhani wewe ndio mwenye povu kwa sababu unachotakiwa kufanya ni either kubisha the fact kuwa Wanyarwanda wanakimbilia bongo na fact kuwa HAKUNA watanzania wanakimbilia Rwanda. Ukiweza kupangua hiyo fact kwa uthibitisho, i will gladly accept mimi natokwa povu, otherwise basis ya kusema hoja zangu ni povu ili hali huwezi kuzipinga ni nini? Mahaba na Kagame?
cc: MK254

We tokwa tu povu, ila sasa mshavuka mstari mwekundu, mnataka kurudi kwenu kwa kupindua serikali yenu, badala ya kununua siraha nyie mmeanza kuvunja vituo vyetu vya polisi na kupola bunduki zetu ndo mkapiganie huko, kwa taarifa yako intelejensia ya kamanda Mangu inajua janja yenu yote.
 
ndio zao! hata mwalimu Nyerere RIP aliliona hilo akasema wapandishwe makarandinga warudishwe kwa mtemi wao Kagame... waliteka magari mengi kweli na kuuwa kule kwa mama mashiringi benako... miaka yote ile sehemu kulikuwa hakuna kusindikizwa na convoi lakini kina jMali walipofika tu baaaasi... wasafiri wote wanaopita pale na magari lazima wasindikizwe na wanajeshi, kwanini haikuwa hivyo kabla ya 94?
 
Wewe sio mTanzania bhana, tumeshakuona kwenye post zingine, embu acha kutumia "yetu" wakati na wewe una 'kwenu' jisemee amavubi na ujinga ujinga mwingine huko.

Anajua akikiri kuwa yeye ni Mnyarwanda, hata wale wachache wanaom support wataingia mitini. Lazima aendelee kujiita mtanzania ili aweze kuwa relevant.
 
We tokwa tu povu, ila sasa mshavuka mstari mwekundu, mnataka kurudi kwenu kwa kupindua serikali yenu, badala ya kununua siraha nyie mmeanza kuvunja vituo vyetu vya polisi na kupola bunduki zetu ndo mkapiganie huko, kwa taarifa yako intelejensia ya kamanda Mangu inajua janja yenu yote.

Usiyeyushe jibu swali kwa nini wahamiaji haramu toka Rwanda wanakimbia "mambo safi" ya Rwanda na kuja bongo kwenye "blah blah"?
 
kwa hiyo wahamiaji haramu ni wakimbizi? hao ni wachunga n'gombe wanaotafuta malisho! kwani "mambo safi" unamaanisha nini? we Interahamwe kweli ushasahau ukarimu na ustaarabu wa ndugu zako wa huku Rwanda... nakuhakikishia hiyo serikali iliyokupokea kama mkimbizi ingeweza kuweka mikakati ya hao watu kuruhusiwa kuchunga n'gombe zao na kulipa kodi basi hata hizo sehemu wanazo hamia kiharamu zingenufaika sana tu tofauti na nyie wauwaji mnaoshinda mkiteka magari na kuuwa wasio na hatia kama kawaida yenu.
 
Usiyeyushe jibu swali kwa nini wahamiaji haramu toka Rwanda wanakimbia "mambo safi" ya Rwanda na kuja bongo kwenye "blah blah"?

Wapo wanaokuja kuchunga mifugo yao, wapo wanaokuja kukodi mashamba na kulima, wapo wanaokuja kupiga biashara, na sio warwanda tu bali wapo wachina, wakenya, wacongo, waganda,nk. Lakin wahamiaji haramu kama wewe ambao mnateka mabasi ya abiria na kupola mali za watu, mmetusumbua sana pale kwenye pori la katoro. Sasa mmeanza kuua askari wetu na kupora siraha je tukikinukisha mtakimbilia wapi?! Make kule kwenu ndo ivo tena, wale wafugaji wakitimuliwa watarudi kwao, ww je?
 
Unajifanya chizi sio? Hao unaozungumzia wewe huja kwa passport chini ya sheria. Umeshawahi kusikia wachina wamekamatwa maporini huko wakitaka kujisajili kwenye BVR? Ngoja nikutolee thread maalum uone nazungumzia nini, nitakuita.
 
Ila hivi mbona tunaona wanyarwanda,waburundi,wakongo nk wanakimbikia tz lakini sioni wa tz wakishobokea au kukimbilia nchi hizo? jMali murutongore Sexer
 
Last edited by a moderator:
Ila hivi mbona tunaona wanyarwanda,waburundi,wakongo nk wanakimbikia tz lakini sioni wa tz wakishobokea au kukimbilia nchi hizo? jMali murutongore Sexer

Sababu ni zile zile zinazowafanya wabongo wajazane South Africa mpaka wanalala kwenye mitaro. Economic migration. Hiyo ni phenomenon ya dunia nzima kama ambavyo watanzania wengi wamekuja rwanda kutafuta maisha.
 
Ila hivi mbona tunaona wanyarwanda,waburundi,wakongo nk wanakimbikia tz lakini sioni wa tz wakishobokea au kukimbilia nchi hizo? jMali murutongore Sexer

Mbwana samata na uhuru selemani wako wapi? Kwa taarifa yako kule lubumbashi, kigali, nk kuna wabongo kibao
 
Last edited by a moderator:
Ila hivi mbona tunaona wanyarwanda,waburundi,wakongo nk wanakimbikia tz lakini sioni wa tz wakishobokea au kukimbilia nchi hizo? jMali murutongore Sexer

Hapo sasa! Hakuna hata raia mmoja wa afrika mashariki anakwenda Rwanda kiharamu na kuishi maporini kama digidigi. Wote wanaokwenda Rwanda kutoka TZ ni watu na kazi zao, wanakwenda kwa passport na taratibu zote. Ila wanyarwanda mpaka machangudoa wao wanakuja bongo, yani huko kwao wanaume wana umaskini mpaka hawawezi kumudu gharama za machangu inabidi mizigo ije bongo kwenye mapedejee!
source: Makahaba kutoka Rwanda wanaswa Dodoma | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
 
Mbwana samata na uhuru selemani wako wapi? Kwa taarifa yako kule lubumbashi, kigali, nk kuna wabongo kibao

Mbwana samatta kazamia DRC bila passpoti? hana vibali vya kukaa DRC? Unamfananishaje na wanyarwanda waliofukuzwa kwa operesheni kimbunga? Unachanganya mambo.
 
Unajifanya chizi sio? Hao unaozungumzia wewe huja kwa passport chini ya sheria. Umeshawahi kusikia wachina wamekamatwa maporini huko wakitaka kujisajili kwenye BVR? Ngoja nikutolee thread maalum uone nazungumzia nini, nitakuita.

Kwa akili yako mchina anaweza kuthubutu kujiandikisha bvr huku akijua hata kama usiku wa manane atandulika tu?! Hivi wewe unaweza kuwatofautisha mghana na mnigeria kwa macho? Mchina na mganda je? Huo ni mfano. We kama watu wanabeba pembe za ndovu na wanyama hai bila kuulizwa je ni nani atawauliza uhalali wa kuwa nchi? Pale kwenye kiwanda cha nile perch mwanza kuna wahindi kibao walishaletana wanaishi isivyo halali na wanadundu tu! Kama unasubiri hadi wachina wakamatwe ndo ujue wapi wasio halali utasubiri sana
 
kama mchina ni raia halali kwa nini asijiandikishe? Wako raia wengi wa Tanzania wenye rangi nyingine zaidi ya nyeusi. That's besides the point. Point ni kwa nini kuna wahamiaji HARAMU kutoka Rwanda kwenda nchi nyingine but never wahamiaji HARAMU kutoka nchi nyingine kwenda Rwanda? Hilo swali ni gumu sana kwetu sisi tunaoambiwa Rwanda kuna hali nzuri ya maisha kuliko bongo. Tunaomba utusaidie hilo.
 
Back
Top Bottom