murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
Kwani kama Tanzania haimo Watanzania hatuwezi kuhoji? Jithamini acha kuthamini wazungu huku ukijidharau. Kama Rwanda wanaweza kufanya vizuri hata kuwapita wazungu wa nchi kubwa na Tanzania pia tunaweza kufanya hivyo kama tukiwa na viongozi wenye vision, hard working na wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu sio hawa wahuni na mafisadi.
Non-Shatter...unapoteza muda wako bure tu na hii interahamwe....kwa taarifa yako tu sio kwamba hajui wala haelewi unachotaka kusema ila kwa sababu ya chuki zake binafsi na anything positive about rwanda hawezi kukuelewa...amegubikwa na chuki dhidi ya wanyarwanda kiasi kwamba hawezi kuona logic...good luck bro
Last edited by a moderator: