The Most CORRUPT and GREED Persons in Tanzania

lakjini fisadi mkubwa kuliko wote ni WATANZANIA ambao; wanawachagua mafisadi, wanawavumilia mafisadi, wanawatetea mafisadi, wanawakumbatia mafisadi... yaani wanafanya kila kitu kuhakikisha mafisadi wanaendelea na ufisadi wao
 
1. Freeman Mbowe huyu kila mtu anafaham
2. Makamba
3. Mnyika (Habari zilidai alipokea rushwa kubwa wakati wa uchaguzi na akawauza wananchi wa ubungo)
4. Wahindi wote Tanzania
 
Kwa kweli kwa mtizamo wangu Benjamini.W.Mkapa atakuwa No.1;kwasababu mikataba yote ya kutia nchi hii umaskini makusudi ili saini katika kipindi ambacho yeye alikuwa madarakani.

Ndiyo maana kama utakumbuka Mchungaji Mtikila aliwekwa ndani baada ya kusema B.W.Mkapa siyo mtanzania ni raia wa Msumbiji kwa kigezo kwamba,mtu gani ambaye hana uchungu na nchi yake?

Vilevile, tax holiday ilitolewa kipindi chake tena mbaya zaidi ili kuwa inawagusa sana wawekezaji wa kigeni. Na ndiyo maana huyu jamaa alikuwa anakubalika sana na mataifa ya kigeni kwasababu ya kuwa miteremko ya kijinga ambayo hata wao katika nchi zao hawadhubutu kufanya kitu kama hicho.

Ukianzia madini,hospitality industry, na ubinafsishaji isikuwa na manufaa kwa nchi, dah we acha tu maanake ni kikumbuka mambo yalivyo na hasira tu.
 
Wanasema taja fisadi mmoja na sio orodha; vinginevyo mafisadi bongo wako wengi sana na orodha ni ndefu.

Walikuwepo wliokuwa mbele siku za nyuma wakitumia nyadhifa zao kujinufaisha binafsi, kwa sasa hawako juu baada ya kutoka kwenye nafasi hizo na wapo wengine wapya. Lakini kuna wale wanaorithiwa kutoka awamu moja hadi nyiongine na hawashibi utafikiri matumbo yao yana viwavi-jeshi!

1. Andrea Chenge
 
Wakuu, huyu mtu ni nani, na ana influence gani kwa wanasiasa?
nimekutana na docs zikimtaja taja sana,
 
Kwa jibu jepesi google "Maria Kejo jamiiforums" au "Maria Kejo EPA" halafu soma sana selection utakazopata.

Alijadiliwa sana miaka ya 2007, 2008 na 2009.

Napita tu.
 
Kwa jibu jepesi google "Maria Kejo jamiiforums" au "Maria Kejo EPA" halafu soma sana selection utakazopata.

Alijadiliwa sana miaka ya 2007, 2008 na 2009.

Napita tu.
nimejaribu ku google mkuu lakini naona katika hizo post anatajwa tu pia, sijaona yenye details zaidi kuhusu jina hili
 
Through proliferation of information and besides general current affairs, right now we are aware and know a lot about loved people, influential people, hated people, mafisadis, and many others in our country.

We read a lot about people with close ties to government officials or indeed, themselves being government officials. Watu ambao wako kwenye wimbi la maskendo mengi yahusianayo na ufisadi hapa Tanzania na kuwa pingamizi kubwa ya maendeleo kwa wengi.

Well, on this thread let me just say enough reading has been done so far, and it's about time we made reference to our reading and understanding. Let's name one person - only one person whom from what you read and understand, you deem most corrupt and most greed in Tanzania and her history. Please Name ONE, NO EXPLANATION NECESSARY - JUST ONE NAME. Thank you!!


I'll kick start:

- Rostam Aziz (Hon.)
Rithwan Kikwete
 
Kwa maoni yangu na bila shaka yoyote mtu huyo ni fisadi Mkapa. Huyu hakuipa heshima kabisa nafasi kubwa tuliyomkabidhi Watanzania na kuigeuza Ikulu yetu 'his business premises' Pia alitumia wadhifa wake kutuibia Kiwira na kujipangia bei ya shilingi 700 millioni ambayo ni 17.5% ya thamani ya mgodi huo. Pia alitumia wadhifa wake kulazimisha TANESCO isaini mkataba wa kifisadi na ambao hauna maslahi kwa Watanzania ambao utawagharimu Watanzania shilingi 326 billioni au kwa maneno mengine mkataba huo utamlipa fisadi Mkapa shilingi 146 millioni kwa siku. Pia kuna ufisadi aliofanya katika kuuza nyumba za serikali, kununua mahosteli pale Dar, kusaini mikataba ya madini isiyokuwa na maslahi kwa Tanzania na kuamua kuifanya siri hata kwa wabnge. Kwa hiyo kwa maoni yangu the most CORRUPT and GREED person in Tanzania is FISADI Mkapa.

Jamani huyu baba si alikuwa na Daniel Yonah?
 
lakjini fisadi mkubwa kuliko wote ni WATANZANIA ambao; wanawachagua mafisadi, wanawavumilia mafisadi, wanawatetea mafisadi, wanawakumbatia mafisadi... yaani wanafanya kila kitu kuhakikisha mafisadi wanaendelea na ufisadi wao

Mkuu upo sawa ongeza na wote wanaohusika na CCM
 
Wote walio na watakaoshiriki kutaja majina kwnye huu uzi pia ni mafisadi wa wakati (time).
 
ali hasan mwinyi,jakaya kikwete,ben mkapa,lowasa,sumaye,rostam,chenge,and all ministers,ccm mps,and all government officials.
 
Back
Top Bottom