The Most CORRUPT and GREED Persons in Tanzania

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
1,228
Through proliferation of information and besides general current affairs, right now we are aware and know a lot about loved people, influential people, hated people, mafisadis, and many others in our country.

We read a lot about people with close ties to government officials or indeed, themselves being government officials. Watu ambao wako kwenye wimbi la maskendo mengi yahusianayo na ufisadi hapa Tanzania na kuwa pingamizi kubwa ya maendeleo kwa wengi.

Well, on this thread let me just say enough reading has been done so far, and it's about time we made reference to our reading and understanding. Let's name one person - only one person whom from what you read and understand, you deem most corrupt and most greed in Tanzania and her history. Please Name ONE, NO EXPLANATION NECESSARY - JUST ONE NAME. Thank you!!


I'll kick start:

- Rostam Aziz (Hon.)
 

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
13,388
14,560
Next is Gray Mgonja.

Amekalia hazina ya taifa huku akiwa ameshiba fwedha na anaendelea kukaa hapohapo hazina kisa- katibu mkuu wa kudumu wa hazina ya Taifa.

Wafaransa wana msemo usemao "In love there is always one who kisses and one who offers the cheek."
 

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
50
I ma real sorry SteveD I could not stop myself from naming only one.
1. J K Kikwete
2. Edward Lowassa
3. Rostam Aziz
4. Nazir Karamagi
5. Msabaha
6. Andrew Chenge
 

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Mmemsahau yule mama Dr slaa aliyemtaja kuwa mikataba yote ya kifisadi alisaini

Maria Kejo
 

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
1,228
Baada ya habari za wahariri wa magazeti kuwa "coached" kuhusiana na ripoti za msiba wa Wangwe (RIP), narudia tena jina moja:


Rostam Aziz

Wenzangu, je pamoja na kusoma kote na kusikia kote taarifa mbalimbali zihusianazo na wasaliti wa maendeleo na wahujumu uchumi nchini mwetu, mmegwaya kutaja jina walau moja?!!
 

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
21
Heee mmemsahau Mareem BALALI?

Kuna mtu anaitwa Liyumba huko BoT, huyu ni baba wa mafisadi. Mama yao ni Maria Kejo. Hawa ni silent killaers. Lakini ndio wamefikisha taifa kwenye hali hii hapa.
.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,930
287,587
Kwa maoni yangu na bila shaka yoyote mtu huyo ni fisadi Mkapa. Huyu hakuipa heshima kabisa nafasi kubwa tuliyomkabidhi Watanzania na kuigeuza Ikulu yetu 'his business premises' Pia alitumia wadhifa wake kutuibia Kiwira na kujipangia bei ya shilingi 700 millioni ambayo ni 17.5% ya thamani ya mgodi huo. Pia alitumia wadhifa wake kulazimisha TANESCO isaini mkataba wa kifisadi na ambao hauna maslahi kwa Watanzania ambao utawagharimu Watanzania shilingi 326 billioni au kwa maneno mengine mkataba huo utamlipa fisadi Mkapa shilingi 146 millioni kwa siku. Pia kuna ufisadi aliofanya katika kuuza nyumba za serikali, kununua mahosteli pale Dar, kusaini mikataba ya madini isiyokuwa na maslahi kwa Tanzania na kuamua kuifanya siri hata kwa wabnge. Kwa hiyo kwa maoni yangu the most CORRUPT and GREED person in Tanzania is FISADI Mkapa.
 

Mutu

JF-Expert Member
Mar 30, 2008
1,330
46
Kuna hawa tuliowakabidhi mamlaka na wanaendeshwa na watu kama RA ndio wabaya zaidi.

Andrew Chenge katumia madalaka yake vibaya mno.He suppose to be no.1 ktk sakata hiliu.
Na wengine ambao wanatajwa na wajumbe wapo juu itakuwa si vema wasipo tajwa .
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
10,637
6,344
Naitaja CCM:
kwani ndicho kisima na shamba la mafisadi, yaani inawalea na kuwatetea kwa nguvu zote.... ushahidi wa wazi ni how watu wenye biashara zao na hata wale mafukara wanavyologana kupata vyeo ktk chama huku wakijua mitaji yao (takrima) itarudi na bonus....
 

Mzozo wa Mizozo

JF-Expert Member
May 26, 2008
426
9
Kutokana na kitendo cha Jana nawaongeza:

1. Lyatonga Mrema
2. Ibrahim Lipumba
3. James Mbatia
 
Last edited:

Boma

Senior Member
Apr 5, 2008
189
8
1. Fredrick SUMAYE
2. Daniel YONA
3. Ali Hassan MWINYI
4. Edward LOWASSA
5. Prof. Juma KAPUYA
 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,531
5,358
Mimi nadhani Lowassa should take number 1. Yeye kila deal serikalini ameitumia kujitajirisha. Tangu akiwa pale Arusha Conference Center. Kila wizara mpaka hapa juzi alipotaka kutuletea mvua ya Thailand. Kulikuwa na mkono wa kujitajirisha pale. Baada ya hapo tuendelee... nitakubali Mkapa kushika namba 2. Huyu Fisadi tena ni Judas Iskariot. Alipigiwa debe kwa kudhania hana makuu kumbe ni fisi aliyejivika ngozi ya kondoo. Chenge ni fisi tu katika neno la ufisadi. Yeye aliona kila mkataba ni ulaji. Mwaga hela chukua madini.
 

Kibunango

JF-Expert Member
Aug 29, 2006
7,984
1,589
Karibu ya wafanyabiashara wakubwa asilimia 99,ni watoaji wakubwa wa rushwa.. Ni wengi hivyo kutaja majina yao itachukua siku nzima..

Wakulima wakubwa mwenye mashamba makubwa ni watoaji rushwa wazuri sana....

Wapambe wa wawekezaji, wabia nao hawako mstari wa nyuma katika kuendeleza rushwa kubwa kubwa.....

Baadhi ya wapokeaji wa rushwa naona wameshatajwa hapo juu... Aidha kundi linaloaibika kila siku kwa rushwa, tena rushwa ndogo ndogo ni maafande wa jeshi la Polisi....
 
Last edited:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom