inasemekana ukichunguza sana tabasamu la Mona Lisa nusu alitaka kucheka na nusu alikua amekasirika. Ni nadra mchoraji yeyote duniani kuweka sura ya mtu kwenye hali hiyo labda uchanganye sura kwa kompyuta. Lakini miaka ya 1500 hakukua na kompyuta. Pia Leonaldo Da Vinci miaka hiyo aliwahi ku design michoro ya helcopter,robot na vifaru na jinsi vitakavyofanya kazi!. Wachunguzi wanasema alikuwa na uwezo wa ku predict the future!