The Monalisa Smile Painting....!!!

ukisoma kitabu cha da vinci code cha dan brown ameelezea mambo mengi sana kuhusiana na hiyo picha
 
nasikia hao wachoraji hawakufaidika na picha zao na waliofaidika (pesa) ni watu wengine kabisa
 
originally hiyo portrait inaitma "la joconde" na inasemekana ni image ya mke wa tajiri na nobleman mmoja wa huko italia.. after all haina kitu chochote more special but ni porojo tu za watu..

na kuna rummors kwamba hiyo picha hapo musee du louvre ni fake ndo maana hawaruhusu watu waishike.
 
Nimegoogle iyo monalise lakini pia sijaelewa kitu
 
Huyu nani?

Mona lisa ni mchoro maarufu duniani labda kupita michoro yote duniani,hii ni kazi ya mchoraji maarufu Leonardo da Vinci katika miaka ya 1503 ,mchoro huu una thamani ya mamilioni ya dola,mchoro original uliochorwa miaka hiyo upo hivi

 
nmeipenda! mtu asiejua mchoro wa monalisa ametishaaa
 
monalisa ni mchoro wa kufikirika tu! hakuwa kuwepo, mchoraji alifikiria tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…