donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #41
Ngoja niisake mkuukuna ngoma ya Damian inatwa affair of the heart kama sijakosea kuanzia beat mpaka mashairi ni balaa,hawa jamaa kama babayao huwezi kuwakinai
Hahahahahahaaa mli-miss somo la UANAHARAKATI, 'LADIES FIRST'
Ile anampenda mtoto wa mchungaji au unasemea shottas?Huyo aliyevaa nguo nyekundu upande wa kushoto kuna movie ameigiza kama sijakosea
Hahaha yupi mkuu
Kuna ngoma ya Damian Marley, inaitwa 'The gunman world'. Noma sana hiyo vibe. Jamaa ni mwandishi mashairi mzuri sanadonlucchese said:Ngoja niisake mkuu
Inahusu nini mkuuKuna ngoma ya Damian Marley, inaitwa 'The gunman world'. Noma sana hiyo vibe. Jamaa ni mwandishi mashairi mzuri sana
ShottasIle anampenda mtoto wa mchungaji au unasemea shottas?
Hiyo xngne ndo hatariShottas
Hiyo nyingine ipi nipe jina lakeHiyo xngne ndo hatari
mkuu hiyo album ni kisanga patience,friends,leader,tribal war hii ni real music aisee,,na kuna album nyingine ya ziggy flyrasta ni habari nyingine....,.Ushaiskia album ya distant relatives yuko na Nas Escobar?
Ngoja niitafute jinaHiyo nyingine ipi nipe jina lake
Yes mkuu alikua yanki sanaUnajua yule dogo kwenye video ya 1 love ni damian jr gong marley?
Poa poaNgoja niitafute jina
Kitu ambacho watu hawajui Ni kuwa ukiwa Na nywele nyingi za asili basi nguvu unayokuwa nayo mtu sio mchezo, fanya uchunguzi utajuaWatoto wa hayati the legend Bob Marley
Its tru kabisa mkuu nshawah ona halafu hata from biblical point of view Samson nae nywele zakeKitu ambacho watu hawajui Ni kuwa ukiwa Na nywele nyingi za asili basi nguvu unayokuwa nayo mtu sio mchezo, fanya uchunguzi utajua