The Marley brothers.....!!!!

Cha ajabu ni kwamba wote hao watumii mmea


Unauhakika na unachoongea au unabahatisha? Usitusumbue ku-upload Video hapa uone wanavyo-skank. Unajua ulimwengu wa teknolojia huu msiwe mnalopokwa maneno tu.
 
wah gwan where is darmian marley ....i am one and only longi mapexa all de wah from nyabingi you know bingi man don't give up!....waaaaah haha noma sana
 
kuna ngoma ya Damian inatwa affair of the heart kama sijakosea kuanzia beat mpaka mashairi ni balaa,hawa jamaa kama babayao huwezi kuwakinai
 
wah gwan where is darmian marley ....i am one and only longi mapexa all de wah from nyabingi you know bingi man don't give up!....waaaaah haha noma sana
Ye don't know him man, wata gwan man?
 
Bob alikuwa nyegere saana, punde tu baada ya kufika Afrika pale Ethiopia akukutana na demu mkali wa kihabeshi anayeonekana pichani akazaa nae mtoto wa kiume kisirisiri.

Kama kawaida jamaa huwa anatoa true copy of the original, toto lake hili la ethiopia walipoliona tu hakuna hata mmoja aliebisha hima wakalijumuisha kwenye marley brothers.

Bob hatari saana.
 

Attachments

  • 1461883150847.jpg
    9.6 KB · Views: 62
Ndo mtoto uyu au Marley mwenyewe?
 
Unauhakika na unachoongea au unabahatisha? Usitusumbue ku-upload Video hapa uone wanavyo-skank. Unajua ulimwengu wa teknolojia huu msiwe mnalopokwa maneno tu

Hawawezi kuacha KIJITI ndio dini yao!!!
 
Huyo aliyevaa nguo nyekundu upande wa kushoto kuna movie ameigiza kama sijakosea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…