The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Baada ya mayowe mengi ,mahrezi kaanza ....waarabu walikuwa washaanza kuwasha moto kwann Mahrez anasugua bench
 
.
mancity-20220914-0001.jpg
 
Leo sijui tunacheza utopolo gani ,no energy ,passion , creativity,ni kupiga piga tu mpira
 
Mahrez na grealish wanatakiwa kujitafakali ,sijui walikuwa wanafanya Nini uwanjan
 
Toka Mahrez apate mkataba mpya daa amekuwa useless kabisa ...

Grealish naye anacheza sijui anawaza £100mill aliyosajiliwa hakuna kitu kabisa ...


Kwa tunapoelekea Mahrez na grealish watakula bench Sanaa ....mpaka watasahaulika ....Alvarez awe anaanza
 
Back
Top Bottom