Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Grealish anaiabisha jersey no.10 uwanjan ,back pass zake zinakera sana ,foden anaonesha uwezo mkubwa sana .....!
Mbaya zaidi kaitwa timu ya taifa


Mbaya zaidi kaitwa timu ya taifa











mpaka tupigwe kwanza ndio atajua kuwa ile ni £100million inayopiga back pass tu8:30 mchana huu....karibuSaa ngapi hii game?
Grealish kipind Cha pili lazima atokeStarting XI.......ederson,stones,Diaz,akanji,cancelo,rodri,kdb,Bernardo,grealish,haaland,foden
Here we go baby
Mkuu guardiola ni MTU wa ajabu sana...bora hats angeanza mahrez kuliko Huyo jamaaGrealish kipind Cha pili lazima atoke
Kiufupi ule ndio uwezo wake wa mwisho jack ,usijekutegemea kikubwa zaidi ,...!Grielish ni bonge LA player akiwa kwenye form na nafikiri ndio sababu ya guardiola kumpa muda zaidi..maybe jamaa ata regain