Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Tukutane next season ..!
Mimi na kushauli tu twende tu united huku unapoteza muda uoni unavyo jiongelesha muda wote mkuu twende kule tu man city mashabiki mambele bongo mnafoji tu.Jipige kifuani sema kimoyomoyo "mim ni shabiki wa man city"
Mkui hata ujishitukii uzi zote huku unajichekesha mwenyewe tu nenda nyuzi za wenzio uone kunavyo happen.
Sisi mashabiki wa city tupo kwa saana tu ndugu ya nini turndelee kupiga mayoe wakati sisi ndo watemi wa epl kwa sasa na kwa siku zijazo,kelele tumewaachia kuku wa klop.Mkui hata ujishitukii uzi zote huku unajichekesha mwenyewe tu nenda nyuzi za wenzio uone kunavyo happen.
Mpo wapi uchafu tu nyie wakati wachezaji wengine wanapo hamia kwenye timu mpya follows uongezeka ila kwenu naona kwa dogo mambo yapo vile vileSisi mashabiki wa city tupo kwa saana tu ndugu ya nini turndelee kupiga mayoe wakati sisi ndo watemi wa epl kwa sasa na kwa siku zijazo,kelele tumewaachia kuku wa klop.

mna uhakika hii ni timu kweli hii

Sasa hio nayo ni sababu ,huu mwaka mtateseka sanaMpo wapi uchafu tu nyie wakati wachezaji wengine wanapo hamia kwenye timu mpya follows uongezeka ila kwenu naona kwa dogo mambo yapo vile vilemna uhakika hii ni timu kweli hii
View attachment 2260597




ngoja nikae kimya uendelee kujiongelesha tuSasa hio nayo ni sababu ,huu mwaka mtateseka sana![]()

maana nime kusapoti kweli yani.

ngoja nikae kimya uendelee kujiongelesha tumaana nime kusapoti kweli yani.
![]()

nenda mzee this is platform unapost kuna watu wanaview ,ukilike au comment au ukapita kimya kimya Mimi hainihusu .....Mimi nitaendelea kupost ...maswala watu hawacomment Mimi inanihusu Nini ,oooh hakuna wachangiaji Mimi hainihusu mzee baba 
UnaotaMpaka sasa Pep hajafanya cha maana kuwazidi Mancini na Pellegrini hapo shity
ngoja nikae kimya uendelee kujiongelesha tumaana nime kusapoti kweli yani.
![]()
Miwasho yako ndio imekuleta huku ,Hii timu haina mvuto
