The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hahaha
Screenshot_20220524-142017_Twitter.jpg
 
Ninaziona dalili zote za kumvuruga kisaikojia Pep ili aondoke England maana kaonekana kuwa mtesaji wa makocha wezake kwa kuendelea kutwaa makombe ya Epl kwa wepesi tu ndio maana wamediliki kumpa klop sifa isiyo yake kabisa.
 
Siku zote Liverpool anacheza Europa league Leo anataka kuchukua uefa fala sanaaa
 
Back
Top Bottom