MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
Tunakabiliwa na majeruhi ya Centre Backs, almost wote sasa ni Injury
Tumchukie Pep kwasababu ya EPL na mickey mouse cups ambazo zote Klopp keshabeba. Si tunaongea ukweli PEP kama ilivyo kwa makocha wanaopita PSG lengo ni kushinda UEFA sio makombe ya ndani ambayo wanashinda almost kila msimuKubali tu mnamchukia pep bila sababu za msingi [emoji28]
Kwa hiyo league ya uingereza ishakuwa league 1 ,Seria A, bundasliga, [emoji28] [emoji28][emoji28]Tumchukie Pep kwasababu ya EPL na mickey mouse cups ambazo zote Klopp keshabeba. Si tunaongea ukweli PEP kama ilivyo kwa makocha wanaopita PSG lengo ni kushinda UEFA sio makombe ya ndani ambayo wanashinda almost kila msimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool upepo umeshakata Sasa timu inashinda
1-0
2-1 ,
inafukuzana na mtu anayepiga
4-0
5-0
1-5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Deal la halaand ndio linazidi kufanya wakala wa Jesus kufanya biashara na arsenal ....! Kuna uwezekano mkubwa akaenda arsenal ...!Jaman isiwe kweli hii issues khaaah,
Man city wataniudhi na kunikera mnoo.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2221143
Sterlling ndo aondoke jaman, jesus abaki.Deal la halaand ndio linazidi kufanya wakala wa Jesus kufanya biashara na arsenal ....! Kuna uwezekano mkubwa akaenda arsenal ...!
Pep naona kaamua kumuacha aende ...
sterling ndio anatakiwa kuondoka ....