MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
Pep ni bonge la kocha,
UCL sio kipimo cha ubora wa kocha, kumbuka hata Roberto Di Mateo na ubovu wake aliwapa Chelsea kikombe cha Uefa.
Uefa inataka bahati zaidi, unaweza kuwa na kikosi bora na bado ukatolewa.
Kabla ya Pep kuja City haikuwa tishio sana kama kipindi hiki, Pep anachukua ubingwa huku aki-dominate, habahatishi.
Tangu ujio wa Pep City amecheza Semi Final tatu (3) na Final (1), ni kitu ambacho zamani City walikuwa wanakiota tu.
UCL kwa City ni swala la muda tu, hakuna kocha mwenye uhakika nayo, ni bahati nasibu tu.
Sina ninachomdai Pep hata akishindwa kunyayua ndoo ya UCL akiwa na City.

kwani speaker za pale etihadi zimeshakaliki tone ya wimbo wa CL ....