Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Mechi dhidi ya Real Madrid ulisema mmepigwa, mbona hujui unachoongea sasaGrealish anazidi kuja ,next season atakuwa wa moto aisee ,View attachment 2217164


Mechi dhidi ya Real Madrid ulisema mmepigwa, mbona hujui unachoongea sasaGrealish anazidi kuja ,next season atakuwa wa moto aisee ,View attachment 2217164



Mwacity hayo EPL ndiyo makombe yenu, UEFA tuwaache wakongwe wetu Real Madrid na Liverpool maana ndiyo wenye uwezo![]()





inauma wapi nikupooze?This is Manchester cityMwacity hayo EPL ndiyo makombe yenu, UEFA tuwaache wakongwe wetu Real Madrid na Liverpool maana ndiyo wenye uwezo![]()






Jack atakuja kuprove wrong ,next season tutaanza na high energy,jack akiwa moto ,hakuna mbwa atakayesogea mbele yetuMechi dhidi ya Real Madrid ulisema mmepigwa, mbona hujui unachoongea sasa![]()

Liverpool ili wakae pale juu sio kushinda tu ila wanatakiwa kumfunga villa goli 4+
![]()







wanalo mwakaa huuAririiiiiiiiiiiiih, weuweeeeeeehThis is Manchester city![]()

....!Maneno ya mkosaji

Ni ya kweli lakini au uongo?Maneno ya mkosaji![]()
wanalo mwakaa huu
utaendelea kuteseka mpaka mwisho wa dunia ,utaishi na maumivu makali Sana ,maana ze cityzen ni kama maji pale england,usipoyaoga utakunywa tu .....Yani hili Litimu lenu ninavyolichukia![]()
