The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Katika timu ukizotaja hapo juu umeiona arsenal ?

This is Manchester city baby

Siku zinakuja na utakiri kwa kinywa chako kuwa "Manchester city ni bwana na mwokozi wa maisha yako "

Biggest club in the world

Biggest Club in the World 🗣️📢

89'

Real Madrid 0 - 1 Man City
95'
Real Madrid 3 - 1 Man City

Don Carlo: Get the hell out of this you little kid
Pep 👇👇: 😂😂
20220506_080131.jpg
 
UCL na EPL tunachukua, sindio mlitamba hivyo? Yaani mimi kama Shabiki wa Liverpool tusipo chukua UCL ila tutapambana ili tuchukue na hatuna majigambo kama nyinyi. Yaani huwa nafurahi Man city akiteseka
Wee nae vipi khaaaah,
 
City Have Been Offered The Chance To Sign Paul Pogba On A Free This Summer. There Is The Feeling In Some Areas Of The Club That He Could Be A Good Signing.

City Also Are Interested In Declan Rice Although His £150m Price Tag Is Proving Prohibitive, And Frenkie De Jong. #mcfc {Via Paul Hirst/ Pol Ballús}
mancityworld-20220507-0001.jpg
 
Wewe ni shabiki wa Liverpool umeamua kujiandikia comment mapema kabisa kuwa mnatamba quadruble kila siku lakini mtaambulua carabao

UCL tayari
Carabao tayari
Sasa ni EPL na tuna uhakika 90% sasa kulichukua sababu nyie wachezaji wako ‘they have no legs’
Nadhani quadruple itatimia
 
Hiyo comment wapelekee liverpool mzee ndio daily wanajitapa quadruble

Usiwe fala hakuna mahali city ilikuwa inagombania makombe manne

Tazama huyu mbulula! Kwahiyo hamujashindana kwenye 1) Carabao, 2) FA, 3) UCL na 4) EPL?
Wewe kweli Mwehu.
 
UCL tayari
Carabao tayari
Sasa ni EPL na tuna uhakika 90% sasa kulichukua sababu nyie wachezaji wako ‘they have no legs’
Nadhani quadruple itatimia
Mshajitangaza kwenye vyombo vya habari mnataka quadruple may 28 sio mbali ,nitakuja munioneshe hizo quadruple
 
Tazama huyu mbulula! Kwahiyo hamujashindana kwenye 1) Carabao, 2) FA, 3) UCL na 4) EPL?
Wewe kweli Mwehu.
Dunia nzima inajua liverpool mshazunguka kwenye vyombo vya habari kutangaza quadruble .

Sasa sisi carabao tumeiacha muda ,fa tuliacha muda Sana ,....!
 
Back
Top Bottom