The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

imagine tumetoka nusu final dunia nzima inatuzungumzia

Big club in the world

This is Manchester city baby

Come on city

Big club pale England ni mbili tu Manchester United na Liverpool zikifuatiwa na Arsenal na Mwisho Chelsea timu zingine zote ni takataka tu Kama mitimu ya ufaransa na ukiona watu wanaizungumzia Man City ni kwasababu ya Pep tu.
 
Asernal haina ubig wowote hawana ucl labda wana uwanja mkubwa
 
Big club pale England ni mbili tu Manchester United na Liverpool zikifuatiwa na Arsenal na Mwisho Chelsea timu zingine zote ni takataka tu Kama mitimu ya ufaransa na ukiona watu wanaizungumzia Man City ni kwasababu ya Pep tu.
Sasa hapa umeongea nini ,hivi huko shuleni ulienda kusomea ujinga Nini ....

Namhurumia mtu aliyepoteza ada kusomesha empty headed kama wewe ..
 
Big club pale England ni mbili tu Manchester United na Liverpool zikifuatiwa na Arsenal na Mwisho Chelsea timu zingine zote ni takataka tu Kama mitimu ya ufaransa na ukiona watu wanaizungumzia Man City ni kwasababu ya Pep tu.
Usiongelee team za kifala united na arsenal na Team kubwa kama city .....mateam ambayo yanastruggle kupata top four unalinganisha na team ambayo ikichukua PL haioni kama mafanikio tena kwani tuko mbali Sana

This is the biggest club in the world,yaani kuishia semi final CL tunaona kama tumefeli ,unalinganisha na takataka mbwa Koko man utd come on men ,usiwe tahira kiasi hicho
 
Tunazungumzia big club pale England hatuzungumzii mafanikio ya UEFA hapa kwa hilo huwezi kuitoa Arsenal.
Wewe shabiki wa arsenal unapata wapi ruhusa ya kuchangia kwenye team kubwa kama hii the cityzen ?, Unapata wapi ubavu wa kuingia humu kwa machampion? Unapata wapi nafasi ya kutmtype neno " arsenal " humu ndani ...?

Humu ndani ni mashabiki kama wa real Madrid , liverpool,Chelsea ,psg ,ndio tunakaa meza moja nao ...!

Wewe katafute Uzi wa Spurs na westham huko sawa ....!
 
Lazima tucheze final nyingi Sana ili tuwin CL 1 ,Mimi binafsi nashangaa watu wanavosikitika kama wanataka kujiua kisa semi final kutolewa ,moment kama hzi kwenye football Tena zaidi ya hizi zinapitiwa Sana na club kubwa zote dunian ...

Kloop katinga final 3 CL lakin kawin 1 mpaka Sasa ,ulishawaza maumivu ya kukosa hizo mbili ?

Unajua maumivu ya liverkuku kukosa final 2018 kisa karius ? Hapa Kuna mtu alijinyonga kabisa

Unajua maumivu ya Barcelona kupigwa comeback ya 3-0 na liverkuku ?

Kuna moment kibao tu za football, kama unafuatlia mpira kitu kama hicho sio cha kukaa na kulialia tofauti na hapo labda ushabikie mieleka

Ze cityzen we have to move on , focus in PL ,...! it's over

We go ...!
Sasa kabla ya Game ulivyokuwa unatutambia ulikuwa huyajui haya?
Mbona tulikufahamisha vizuri tu kuhusu haya lakini ukakaza fuvu na hoja zako za Possession football halafu leo unajifanya ndiyo unatuhubiriiiiiaa

Yani hapa hatuhami mpaka museme mumekoma kujitapa mbele ya Wakubwa wenu
 
Big club pale England ni mbili tu Manchester United na Liverpool zikifuatiwa na Arsenal na Mwisho Chelsea timu zingine zote ni takataka tu Kama mitimu ya ufaransa na ukiona watu wanaizungumzia Man City ni kwasababu ya Pep tu.
Pale hatuzungumzii Man City bali tunamzungumzia Pep lakini yeye anaona kama tunamzungumzia Man City
Anyway mimi bado sijaelewa kwanza hiyo Man City ni nini? Au ile movie ya kutisha ya Tom Cruise ndiyo inaitwa Man City? Msaada tafadhali.
 
Sasa kabla ya Game ulivyokuwa unatutambia ulikuwa huyajui haya?
Mbona tulikufahamisha vizuri tu kuhusu haya lakini ukakaza fuvu na hoja zako za Possession football halafu leo unajifanya ndiyo unatuhubiriiiiiaa

Yani hapa hatuhami mpaka museme mumekoma kujitapa mbele ya Wakubwa wenu
Unaukubwa gani wewe ,hivi liverpool mnaweza kusema mnacheza uefa kweli ?

Kwanza njia yenu kufika final ni ya kilocal Sana ,unacheza na villareal,benefica ,sijui intermillan unaakili wewe ?

Hayo ni matimu ya kuja kututambia et umefika final kweli ...!

Hiyo njia ya kichochoroni uliyopita ndio itakufanya upigike mapema final ,uefa haiwezi chukuliwa na mandezi kama nyie mnaocheza Europa na kuibuka final ya CL
 
Pale hatuzungumzii Man City bali tunamzungumzia Pep lakini yeye anaona kama tunamzungumzia Man City
Anyway mimi bado sijaelewa kwanza hiyo Man City ni nini? Au ile movie ya kutisha ya Tom Cruise ndiyo inaitwa Man City? Msaada tafadhali.
Soma title ya Uzi hapo juu ,ndio maana shuleni mlienda kupoteza muda na kusomea ujinga ,Kuna Uzi hapo juu umeandikwa pep giardiola FC

Mashabiki wa liverpool ni mandezi kiasi hiki ooooh my God...!

Nisije kuwa nabishana na kilaza level za stg shittttt
 
Unaukubwa gani wewe ,hivi liverpool mnaweza kusema mnacheza uefa kweli ?

Kwanza njia yenu kufika final ni ya kilocal Sana ,unacheza na villareal,benefica ,sijui intermillan unaakili wewe ?

Hayo ni matimu ya kuja kututambia et umefika final kweli ...!

Hiyo njia ya kichochoroni uliyopita ndio itakufanya upigike mapema final ,uefa haiwezi chukuliwa na mandezi kama nyie mnaocheza Europa na kuibuka final ya CL
Sasa Bayern na Juventuskutolewa njiani na Villarreal unalifanya kama ni kosa letu wewe Vipi
Si wangepambana ili wasitokewe hao kina Bayern ili tuwakute! Kiufupi Tumempiga nje ndani mbabe wa Bayern na Juventus na wewe unajua hilo hutaki tu kukiri ukweli
 
Soma title ya Uzi hapo juu ,ndio maana shuleni mlienda kupoteza muda na kusomea ujinga ,Kuna Uzi hapo juu umeandikwa pep giardiola FC

Mashabiki wa liverpool ni mandezi kiasi hiki ooooh my God...!

Nisije kuwa nabishana na kilaza level za stg shittttt
Sasa hiyo Title ya Uzi si imeandikwa tu Man City? Mimi najuaje kama Man City ni Timu ya Mpira au ni kikundi cha Ngoma kama Sikinde? Kwa ufupi tu mimi nimeingia kwenye huu uzi kwasababu nakitana na stori za Pep na si jengine.
Kuhusu Man City utajua mwenyewe kuwa ni kitu gani
 
Unazidi kuonesha ujinga wako hadharani mpaka huruma .....

oyaaaaaaaaaaaa
 
Sasa Bayern na Juventuskutolewa njiani na Villarreal unalifanya kama ni kosa letu wewe Vipi
Si wangepambana ili wasitokewe hao kina Bayern ili tuwakute! Kiufupi Tumempiga nje ndani mbabe wa Bayern na Juventus na wewe unajua hilo hutaki tu kukiri ukweli
Mandezi kama nyie hamuwezi chukua CL kiivo mzee labda ukacheze final Europa na rangers huko maana ndiko ulikopitia
 
Back
Top Bottom