Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
download burma tvLink wakuu
Ukishatanguliwa kufungwa goli before 10th minute yani wewe unakua ushavurugwa na usipotulia ndio goli zitazidi kumiminika,Jitahidini mpunguze idadi ya magoli..zinafika 5 hapa
Ha ha haaa,wahuni na mpira ni maji na mafutaoyaaa wauni tunaishije leo inabid tumpasue uyu livakuku
Ahahaha liver kabebwa wanasema wameshindaWashabik wa hili genge la 2011 mpo wapi
Mmeshinda ngapi?oyaaa wauni tunaishije leo inabid tumpasue uyu livakuku
joanah Una hali ngumu sana hivi sasa kila unapoenda ni vipigo tu.
wauni sio watuMmeshinda ngapi?
Huu mwaka sijui pep anataka nin, epl naona kama anaipuuzia,
Kama anataka uefa basii inabid akaze