interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Pep aliikuta Man City imetoka kushiriki nusu fainali UEFA bila De Brune,Man City bila De Bruyne ni kikundi cha wazururaji uwanjani...
Na siku hizi De Bruyne mwenyewe ana pancha mwili mzima,akiguswa tu majeruhi..!



Epl tunabeba na Champion League wala usiwe na shaka.