SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,904
Liverpool bado ni tishio uefa.
Klopp yupo serious sanaa sanaaa.
Kiufupi klopp anaijua knockout stages vizuri kuliko kocha yoyote
Nadhani nyakati ngumu alizopitia zimempa somo sana.
Sasa pep unaweza shangaa mwaka huu tena akaacha majembe nje ili apoteze ugenini. Yan hajajua bado umuhim wa away goal. Halafu pia bado city haina mtu tactical analysis mzuri .
Game inaweza kuwa ngumu sana sub za akili hamna tangu sane alipokosa namba.
Alafu anfield inawabeba sana liverpool.
Txiki managing director ameongea umuhimu wa uefa nadhan Guardiola anabadilisha mambo mengi mwaka hu.
Swali jepesiKila timu si ina uwanja wake wa nyumbani? Anfield inaibebaje LFC?
Hahàha bas ww noma.Andrew Walker hajapata kuitwa Timu ya Taifa,Ni Majeruhi Au Uwezo unayumba au ni Mabadiliko tu ya Mwalimu wa The Three Lion's..???
Walker huyu bwana alipata kunirudishia kumbukumbu zangu za kusakata kandanda haswa ile mechi ya ngao dhidi ya Liverpool alivyookoa mchomo kwa "TikiTaka"
Kuna Mechi nipo A-level nikiwa kama kiungo mkabaji wakati mwingine nikibadilika nakuitwa black maradona.
Nilikuwa mwepesi kama kulungu,piga vyenga sana baadhi ya mamluki uwanjani.
Nilichomoa mchomo mmoja wa kuingia nyavuni kama Walker alivyofanya.
Mechi ilikwisha Tukifungwa Goli 3-1 lakini kwa taaabu sana,Soka Tulitandaza.
Majeraha yampitie mbaliKun anamisimu miwili yakujipandisha zaidi
View attachment 1180527
Hivi John Stones majeruhi au?Mahrez anaanzaView attachment 1194284
Hii beki tano wanaposhambuliwaHii formation balaaaView attachment 1194288
Nadhani Huo mfumo huwa kwenye hivyo vitimu vidogo wanakuwa Wingback pekee ndio wana panda ili ulinzi uwepo wa kutoshaHii beki tano wanaposhambuliwa
Mifumo hi ilisumbua sana wanapopaki basiNadhani Huo mfumo huwa kwenye hivyo vitimu vidogo wanakuwa Wingback pekee ndio wana panda ili ulinzi uwepo wa kutosha