SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,898
Liverpool bado ni tishio uefa.
Klopp yupo serious sanaa sanaaa.
Kiufupi klopp anaijua knockout stages vizuri kuliko kocha yoyote
Nadhani nyakati ngumu alizopitia zimempa somo sana.
Sasa pep unaweza shangaa mwaka huu tena akaacha majembe nje ili apoteze ugenini. Yan hajajua bado umuhim wa away goal. Halafu pia bado city haina mtu tactical analysis mzuri .
Game inaweza kuwa ngumu sana sub za akili hamna tangu sane alipokosa namba.
Alafu anfield inawabeba sana liverpool.
Txiki managing director ameongea umuhimu wa uefa nadhan Guardiola anabadilisha mambo mengi mwaka hu.
Kila timu si ina uwanja wake wa nyumbani? Anfield inaibebaje LFC?