The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Points
1,195
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 1,195
Manchester City: EPL Champions 2014Manchester City beat West Ham 2-0 to win the Barclays Premier League title

Attachments:

Last edited:
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
2,206
Points
2,000
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2018
2,206 2,000
Pep Guardiola on Sergio Aguero: “I am happy from day one (with Aguero). He has incredible talent and his commitment to the team is fantastic. We have two incredible strikers with him and Gabriel Jesus
 
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
2,206
Points
2,000
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2018
2,206 2,000
Kama ni hivyo ule ni usengengenyaji/ulambaji kisogo

Ilifaa akutane na Salah kama Salah wayaongee na kama maongezi na Salah hayakuzaa matunda ndio apande kwa wakubwa wa team/Club
Liverpool walipost video wakati wanatoka uwanjan kwenye corido jamaa bado kamaind.
 
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
2,206
Points
2,000
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2018
2,206 2,000
CB positions ni critical sana kibaya zaidi Philip Sandler yupo mkoponi, John Stones majeruhi

Ninawaona mkianza kukiona cha moto
January inatuhusu.
Fern sio mrefu ki hvyo kucheza cb ndo wakina otamendi.
Sasa option ni bwnaa walker kukaa kati cancelo kwenda pembeni. Ama eric garcia na mwenzake.
Maana hawa madogo wana train na first team msimu huu.
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,918
Points
2,000
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,918 2,000

Kweli Mtaisoma namba yaani madogo wanaograduate Academy ndio wakipige beki ya kati?
 
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
2,206
Points
2,000
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2018
2,206 2,000
Bernado silva ni mchezaji bora wa uefa nations league , alafu tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ya portugal wamempa Ronaldo. Hv kweli vituko.

BernardoCSilva on City players being snubbed for individual awards: “We talk about it, and we feel it is unfair, but what matters is that we have won four titles and I have even added it to the Euro Nations. But the nominee is entitled to choose the players..."
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,918
Points
2,000
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,918 2,000
Bernado silva ni mchezaji bora wa uefa nations league , alafu tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ya portugal wamempa Ronaldo. Hv kweli vituko.

BernardoCSilva on City players being snubbed for individual awards: “We talk about it, and we feel it is unfair, but what matters is that we have won four titles and I have even added it to the Euro Nations. But the nominee is entitled to choose the players..."
Jiulize je Huko national team Bernado Silva anamzidi Ronaldo magoli? Usimback mchezaji kwa sababu tu ni mchezaji wa Club yako
 
Mzingo

Mzingo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Messages
1,354
Points
2,000
Mzingo

Mzingo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2014
1,354 2,000
Jiulize je Huko national team Bernado Silva anamzidi Ronaldo magoli? Usimback mchezaji kwa sababu tu ni mchezaji wa Club yako
umeambiwa ni mchezaji bora wa mashinano. FA ya Portugal imemuogopa CR7 . Na ni sahihi kwa namna fulani kwa vile CR7 hakawii kununa timu ikawa hovyo. By the way CR7 ni wa muhimu sana Portugal National team kuliko Bernardo
 
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
2,206
Points
2,000
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2018
2,206 2,000
umeambiwa ni mchezaji bora wa mashinano. FA ya Portugal imemuogopa CR7 . Na ni sahihi kwa namna fulani kwa vile CR7 hakawii kununa timu ikawa hovyo. By the way CR7 ni wa muhimu sana Portugal National team kuliko Bernardo
Wachezaji wasio na majina huwa wanachukuliwa poa sana.
Ila kama ulivyosema cr7 wamempa heshima kwa sababu fln ya jina.

Ila kama umecheki game za portugal utaona 50% ya magoli ya ronaldo yametoka kwa bernado.
 
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
2,206
Points
2,000
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2018
2,206 2,000
Pep Guardiola on benmendy23: “If Benjamin is fit he will have success. I am happy [with him] but I don't want to say much. But I am satisfied because it has been two weeks and his recovery after training has been good. He doesn't feel any pain and that is good..."

“These kinds of traumatic injuries are a bit unlucky. One after another. He couldn't take the rhythm for a season for even half season or a long time. That is a concern but he's now training good..."

“The people from Barcelona are telling me that he is working incredible, like an animal, and hopefully he can maintain that because it is not about one day or one week it is about every day doing that.”
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,918
Points
2,000
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,918 2,000
Baada ya Centerback kubakia Otamendi pekee yake ladies and gentlemen CB wanaongezeka Walker na

goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
2,206
Points
2,000
goswe

goswe

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2018
2,206 2,000
Baada ya Centerback kubakia Otamendi pekee yake ladies and gentlemen CB wanaongezeka Walker na

Unajua zinchenko timu ya taifa kwa ssa anacheza kama holding midfield na ana perform saf kabisa.
Kwaio kama atafanikiwa zaidi basi rodri anaweza pia akashuka pale chini.
Ndinho nae anacheza cb vzr,stones pia yupo.

Msimu uliopita cb walianza stones na otamendi mpaka ktkt ya msimu waliperform vzr.
Alafu izi fa,carabao watacheza wakina belli na garcia.
 
Forum statistics

Threads 1,336,607
Members 512,670
Posts 32,545,026
Top