Kusema kwel jana pepe alidharau sana game, aliona ameshawin, siku zote kwenye football usije kujihakikishia ushind tena dakika za 50 kwa aggregate ya 2-1,
Kama uliangalia vizur city walirelax sana hata pep alirelax sana kipind cha pili, hakuna mtu aliyeshituka kama game ingechange,
Alikuja kuamka dakika ya 60 baada ya kusawazisha, hilo ndo kosa,
Kina KDB walipoteza chance nyingi pale mbele, bila hata kupasiana vizur, walikuja kuamka muda ushaisha
Hili litatugharimu sana tusipo jiaangalia,
Attempt kibao ila goli mbili tu hu ni ujinga kabisa, mim pep dakika za 70 aliniboa sanaa, ile game alikuwa na chance ya kuwamaliza first half, ila DHARAU, na rudia dharau imemponza sana guardiola jana so sad,
F**k