The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kama Spurs anawatia adabu kiasi hichi ..ukikutana na man united au hata arsenal mujipange sana..

Chelsea anawasubiri uko...

Huu msimu unaweza kuwa normal sana ..
 
Kama Spurs anawatia adabu kiasi hichi ..ukikutana na man united au hata arsenal mujipange sana..

Chelsea anawasubiri uko...

Huu msimu unaweza kuwa normal sana ..
wewe jamaa mpira sio fani yako the second biggest club currently ukimtoa Liverpool ni Nani kama sio Tottenham?

unazitaja man u na Gaygrones are u serious?
 
IMG_6133.JPG
 
Kusema kwel jana pepe alidharau sana game, aliona ameshawin, siku zote kwenye football usije kujihakikishia ushind tena dakika za 50 kwa aggregate ya 2-1,

Kama uliangalia vizur city walirelax sana hata pep alirelax sana kipind cha pili, hakuna mtu aliyeshituka kama game ingechange,

Alikuja kuamka dakika ya 60 baada ya kusawazisha, hilo ndo kosa,

Kina KDB walipoteza chance nyingi pale mbele, bila hata kupasiana vizur, walikuja kuamka muda ushaisha

Hili litatugharimu sana tusipo jiaangalia,
Attempt kibao ila goli mbili tu hu ni ujinga kabisa, mim pep dakika za 70 aliniboa sanaa, ile game alikuwa na chance ya kuwamaliza first half, ila DHARAU, na rudia dharau imemponza sana guardiola jana so sad,

F**k
 
Kama Spurs anawatia adabu kiasi hichi ..ukikutana na man united au hata arsenal mujipange sana..

Chelsea anawasubiri uko...

Huu msimu unaweza kuwa normal sana ..
Hivi aliyesema Manuu ni Team ya kumtishia City nani?

Manuu kwa sasa ni kama waimba kwaya za kuingilizia wanaziita Cover
 
Ukija uswahilini na ukataja Site (City), watu wanajua gali la kuzolea takataka.
Enewei, wazima wazee wa VAR?
 
Mnatisha sana Club ya tajiri alie tayari kutumia pesa yake kwa ajili ya mpira

Nawaona leo mkishinda kwa GD ya 2+
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom