Football is fvcked
The same goal will be allowed to llorente,liverpool& utd
Wanaogopa city,nimuda wanasema epl inauliwa na city.
Wanataka ligi iwe na ushindani na hamna namna yakuifanya iwe na ushindan ila kuizuia city kwa kila namna.
Handball new rules are sh!t hata VAR itumike kwa usahihi namna gani,bado hakutakuwa na ladha ya mpira huwezi kushangilia kabisa hata vp.
Rodrigp alisukumwa waxi 1st half nakukatwa ref hakutaka ata kutazama.
And simple like tht.
But with or without VAR we'll take the league