The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

1566036203227.png
 
Hakuna kufungiwa usajili.
Fifa wametupiga fain ya £350k tu, bila adhabu ya kufungiwa usajili kama chelsea.

Na io hela imelipwa mapema sanaaaa
Waarabu washafanya ya kwako nyuma ya pazia..

Baada ya miaka mitatu tutakuja kujua..
 
Guardiola inabidi ashtuke mapema maamuzi ya VAR siku zote nikuizuia City.

Juhudi zao za wazi zitagonga mwamba
 
Football is fvcked
The same goal will be allowed to llorente,liverpool& utd

Wanaogopa city,nimuda wanasema epl inauliwa na city.
Wanataka ligi iwe na ushindani na hamna namna yakuifanya iwe na ushindan ila kuizuia city kwa kila namna.

Handball new rules are sh!t hata VAR itumike kwa usahihi namna gani,bado hakutakuwa na ladha ya mpira huwezi kushangilia kabisa hata vp.

Rodrigp alisukumwa waxi 1st half nakukatwa ref hakutaka ata kutazama.

And simple like tht.

But with or without VAR we'll take the league
 
aguero got substituted, guardiola shouted at him man city scored the winning goal, guardiola hugged aguero VAR canceled the winning goal for man city, what do you think will happen between guardiola and aguero ?
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom