CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,572
- 884
Ila dakika ya 72 anaongoza kwa goli 4 , ivi alishindwa kweli kumtengenezea Aguero kiatu kweli?PEP leo hakuwa na furaha sana .
Inaonyesha uefa ilimuumiza sana.
Next season kutachimbika sio siri.
Hawakushindwa kabisa.Ila dakika ya 72 anaongoza kwa goli 4 , ivi alishindwa kweli kumtengenezea Aguero kiatu kweli?
wala sio sterling tu. hata hapo nyuma walikuwa wanapata chance ya kumpelekea tena na yeye unamuona kabisa anawatoka mabeki ila wakawa hawaupeleki zaidi ya kuurudisha nyuma na kuchezea wanavyotaka. wangepeleka mbili tatu mbele lazima jamaa angeondoka na kiatu leo. hawajamfanyia poa kabisa. na akiondoka hapo ndo tutamjua ni nani, akiondoka labda aende nje ya england ila akibakia england atatumaliza vibaya sana. we subiri tu.Hawakushindwa kabisa.
Ila niliona sterling alimbania kiasi fulan.
Na kama wangeamua kuacha basi za mabeki mbona jamaa angepata kabisa hata hat trick.
Haha aende copa america tusikutane nae.wala sio sterling tu. hata hapo nyuma walikuwa wanapata chance ya kumpelekea tena na yeye unamuona kabisa anawatoka mabeki ila wakawa hawaupeleki zaidi ya kuurudisha nyuma na kuchezea wanavyotaka. wangepeleka mbili tatu mbele lazima jamaa angeondoka na kiatu leo. hawajamfanyia poa kabisa. na akiondoka hapo ndo tutamjua ni nani, akiondoka labda aende nje ya england ila akibakia england atatumaliza vibaya sana. we subiri tu.
Mpeleke mama ako sasaPEP simjui zaidi ya mapesa mengi tu yaliyomuweka pale City, timu ipi imetumia pesa nyingi sana kusajili na kununua wachezaji wengi zaidi ya City pale UK tangu aje huyo Pep Kipara
Anyone but liverpool.
Mashabiki wa man u hapo ndo wananikoshaa
Bro wewe hukuangalia mechi?wala sio sterling tu. hata hapo nyuma walikuwa wanapata chance ya kumpelekea tena na yeye unamuona kabisa anawatoka mabeki ila wakawa hawaupeleki zaidi ya kuurudisha nyuma na kuchezea wanavyotaka. wangepeleka mbili tatu mbele lazima jamaa angeondoka na kiatu leo. hawajamfanyia poa kabisa. na akiondoka hapo ndo tutamjua ni nani, akiondoka labda aende nje ya england ila akibakia england atatumaliza vibaya sana. we subiri tu.
Kwahiyo Man U watakuwa wanakipiga Alhamis ? Ndo maana wamekuwa wapole kwenye uzi wetu, dah wamemaliza nafasi ya 6, bado wamepigwa 2 nunge na timu ambayo inashuka daraja tena Old tra. hata mm ningekaa kimya.Anyone but liverpool.
Mashabiki wa man u hapo ndo wananikoshaa
Katika point 18 za kule chini.Kwahiyo Man U watakuwa wanakipiga Alhamis ? Ndo maana wamekuwa wapole kwenye uzi wetu, dah wamemaliza nafasi ya 6, bado wamepigwa 2 nunge na timu ambayo inashuka daraja tena Old tra. hata mm ningekaa kimya.
Katika point 18 za kule chini.
Walichukua 11 kama sikosei
The difference between City and United is 32 points.98.Manchester City
97.Liverpool
96.
95.
94.
93.
92.
91.
90.
89.
88.
87.
86.
85.
84.
83.
82.
81.
80.
79.
78.
77.
76.
75.
74.
73.
72 .
71.
70.
69.
68.
67.
66. Man united
Asante sana, ni kweli nimezaliwa na Mama tena nampenda sana, pole sana ambaye hukuzaliwa na Mama 7bu hauwezi kujua umuhimu wake kamwe ktk maisha yakoMpeleke mama ako sasa
Kurushiwa maganda ya ndizi tu ndiyo kigezo? Wew hapo ushawai kumtolea maneno ya kibaguz mara ngap De Bryne? Au Wyne Rooney aisee Afrika tungekuwa na uchumi tunaongoza kwa ubaguzi ila hujuw tu.
Pep muache tu
Ni bonge la gap.98.Manchester City
97.Liverpool
96.
95.
94.
93.
92.
91.
90.
89.
88.
87.
86.
85.
84.
83.
82.
81.
80.
79.
78.
77.
76.
75.
74.
73.
72 .
71.
70.
69.
68.
67.
66. Man united
Kumbe ishu sasa sio hela tu.
Ila matumizi sahihi ya hizo hela.
Hapo ndipo napoikubali city pia.
Basi chelsea wabadilishe management ili misimu mi2 ijayo wawepo washindan wengi zaidi.
Hahha yani ni zone mbili tofauti kabisa.The difference between City and United is 32 points.
The difference between United and Cardiff is 32 points