The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ila dakika ya 72 anaongoza kwa goli 4 , ivi alishindwa kweli kumtengenezea Aguero kiatu kweli?
Hawakushindwa kabisa.
Ila niliona sterling alimbania kiasi fulan.
Na kama wangeamua kuacha basi za mabeki mbona jamaa angepata kabisa hata hat trick.
 
Hawakushindwa kabisa.
Ila niliona sterling alimbania kiasi fulan.
Na kama wangeamua kuacha basi za mabeki mbona jamaa angepata kabisa hata hat trick.
wala sio sterling tu. hata hapo nyuma walikuwa wanapata chance ya kumpelekea tena na yeye unamuona kabisa anawatoka mabeki ila wakawa hawaupeleki zaidi ya kuurudisha nyuma na kuchezea wanavyotaka. wangepeleka mbili tatu mbele lazima jamaa angeondoka na kiatu leo. hawajamfanyia poa kabisa. na akiondoka hapo ndo tutamjua ni nani, akiondoka labda aende nje ya england ila akibakia england atatumaliza vibaya sana. we subiri tu.
 
Haha aende copa america tusikutane nae.
Ila aguero ni city damdam
 
wala sio sterling tu. hata hapo nyuma walikuwa wanapata chance ya kumpelekea tena na yeye unamuona kabisa anawatoka mabeki ila wakawa hawaupeleki zaidi ya kuurudisha nyuma na kuchezea wanavyotaka. wangepeleka mbili tatu mbele lazima jamaa angeondoka na kiatu leo. hawajamfanyia poa kabisa. na akiondoka hapo ndo tutamjua ni nani, akiondoka labda aende nje ya england ila akibakia england atatumaliza vibaya sana. we subiri tu.
Bro wewe hukuangalia mechi?
Mbona kun kapewa mpira mara kadhaa akafeli mwenyewe? Tena pasi nyingine kapewa na sterling ndo ule mpira alidondoka nao ndani ya box
 
Anyone but liverpool.
Mashabiki wa man u hapo ndo wananikoshaa
Kwahiyo Man U watakuwa wanakipiga Alhamis ? Ndo maana wamekuwa wapole kwenye uzi wetu, dah wamemaliza nafasi ya 6, bado wamepigwa 2 nunge na timu ambayo inashuka daraja tena Old tra. hata mm ningekaa kimya.
 
Katika point 18 za kule chini.
Walichukua 11 kama sikosei
 
98.Manchester City
97.Liverpool
96.
95.
94.
93.
92.
91.
90.
89.
88.
87.
86.
85.
84.
83.
82.
81.
80.
79.
78.
77.
76.
75.
74.
73.
72 .
71.
70.
69.
68.
67.
66. Man united
The difference between City and United is 32 points.
The difference between United and Cardiff is 32 points
 
Simo kabisa ktk dhambi za kijinga kama hizo 7bu naelewa hakuna aliyejiumba na awezaye kuumba kiumbe chochote hai duniani zaidi ya Mungu pekee, so usinishirikishe ktk yasiyonihusu lkn nilichokinena mimi nina ushahidi nacho 100% kuhusu ubaguzi wa rangi hasa kwa huyo Pep.

Kuwa mkweli ili uwe huru na amani rohoni mwako Kaka.
Kurushiwa maganda ya ndizi tu ndiyo kigezo? Wew hapo ushawai kumtolea maneno ya kibaguz mara ngap De Bryne? Au Wyne Rooney aisee Afrika tungekuwa na uchumi tunaongoza kwa ubaguzi ila hujuw tu.

Pep muache tu
 
98.Manchester City
97.Liverpool
96.
95.
94.
93.
92.
91.
90.
89.
88.
87.
86.
85.
84.
83.
82.
81.
80.
79.
78.
77.
76.
75.
74.
73.
72 .
71.
70.
69.
68.
67.
66. Man united
Ni bonge la gap.
Kwa kwel timu izi chini ya l'pool zinapaswa ziiheshimu msimu huu kwa gao hili.
 
Oleksandr Zinchenko currently holds the records for consecutive PL wins from his debut, standing at 22
 
Kumbe ishu sasa sio hela tu.
Ila matumizi sahihi ya hizo hela.
Hapo ndipo napoikubali city pia.

Basi chelsea wabadilishe management ili misimu mi2 ijayo wawepo washindan wengi zaidi.

Mkuu City ameeka vichwa makini nyuma ya Pep pale, wanajua nini wanafanya sio kama Chelsea au Man U. Mimi walinamaliza kabisa pale walipokwenda kumsajili Bernado Silva kimya kimya huku chelsea wakipambana kwa vurugu Kumbeba Bakayoko.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom