The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mmeamua kuachaa au uwezo ndo mdogo.?? Kikosi finyu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye kitabu cha Why We Want You To Be Rich, cha Donald Trump na Robert Kiyosaki kuna msitari unasema:-

“Sometimes it’s best to walk away and live to fight another day,” and “Choose your battles carefully".

Walikuwa na maana gani?
Put your resources where you have competitive advantage.
 
Manchester City vs. Wolverhampton Wanderers
Hapo mancity akiwa anatafuta point 3 ili kupunguza gap kati yake na liverpool zirudi 4. wakati atakapomkaribisha Wolves hapo Etihad Stadium. Ikumbukwe pia hawa hawa Wolves sio wa mchezo mchezo.
Sisi kama mabigwa watetezi tulianza vizuri sana 2019 ila ikumbukwe pia hawa wolves wamesumbua sana top 6 msimu huu.
Dec tulipigwa vibaya sana michezo 3. ila baada ya kuwapiga Liverpool 2-1 tumeendeleza hasira zetu kama vile simba aliejeruhiwa (simaanishi Simba sports club )


Man City possible starting lineup:
Ederson; Danilo, Stones, Laporte, Zinchenko; De Bruyne, Fernandinho, D Silva; Sterling, Aguero, Sane
 
Msimamo waLigi baada ya Ole Gunnar kuja united
20190115_095317_rmscr-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom