The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Last five games
Liver 4 wins
Man c 0
1 draw halafu unatukana una matatizo ya kijinsia ww sio bure
Ndo utajua leo kama anamatatizo ya kijinsia ama wewe ndo unayo. City akipigwa leo basi jamaa anamatatizo ya kijinsia ila liverpool akipigwa leo basi wewe ndo utakuwa na matatizo ya kijinsia. Kesho tukianza kumsifia mwenye matatizo ya kijinsia usianze kusema unatukanwa. Omba mshinde.
 
Ndugu zangu punguzeni sauti ya mziki wa kwenye sherehe yenu nyumba ya pili kuna msiba hapo

Uungwana ni vitendo😀😀😀
 
Kwema humu humu wakuu?

Nilikuwa nataka kujua kama msiba wa huyu mhamiaji haramu watazikia humu au maiti itasafirishwa.
naona pumzi imekata
Ndo kusema ndugu wametekeleza maiti kabisa? Hata jiran wa kuzika hakuna?
Hii timu hamna washabik kuna washangiliaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
YOU WILL NEVER WIN ANA THING

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu hamna washabik kuna washangiliaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajkuta sana nyie.

Ww s ulikuw unashangilia mm kupigwa na wengne!!!!?
Sasa mim nashangilia kukugonga ww.

Nilikuwa nashangaa vimtu eti city saiv mdebwedo, khaaaaa!!!
Kweny mpira kuna kupanda na kushuka,,,, sasa Mimi nilishuka kidgo tu,,,,.. vimidomo vireefu vyeusi kama kunguru.

Niliwaambia hamjayapata maumv ya kufungwa msimu huu, mkavimba mavichwa utafikil league yenu hiyo.
Na mbaya zaidi mm ndo nimekuonjesheni hayo maumiv ya kutolewa bikra. Mtulie hivo hivo maumiv yawaingie vzr.

Mohamed Salah ndo mchezaj pekee aliegusa mpira mara chache zaidi had dkk 90.
Forward line yote ilipotezwa na mabeki wetu. Et tuna beki mbovu?????

Sasa nasemaje
Kuku kala mchele asubui, jioni kaliwa na wali.
YOU WILL NEVER WIN ANYTHING
IMG_20190104_132345_335.jpeg

YOU WILL NEVER WIN ANYTHINGView attachment 985755

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenge kwel ww
Nilikuambia fernandinho ndo moyo wa hyo timu yako ya 2012

Ukajikatalisha muda haukuisha mkabakwa na palace hamkukaa sw leicester akawanyoaa vikwapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajkuta sana nyie.

Ww s ulikuw unashangilia mm kupigwa na wengne!!!!?
Sasa mim nashangilia kukugonga ww.

Nilikuwa nashangaa vimtu eti city saiv mdebwedo, khaaaaa!!!
Kweny mpira kuna kupanda na kushuka,,,, sasa Mimi nilishuka kidgo tu,,,,.. vimidomo vireefu vyeusi kama kunguru.

Niliwaambia hamjayapata maumv ya kufungwa msimu huu, mkavimba mavichwa utafikil league yenu hiyo.
Na mbaya zaidi mm ndo nimekuonjesheni hayo maumiv ya kutolewa bikra. Mtulie hivo hivo maumiv yawaingie vzr.

Mohamed Salah ndo mchezaj pekee aliegusa mpira mara chache zaidi had dkk 90.
Forward line yote ilipotezwa na mabeki wetu. Et tuna beki mbovu?????

Sasa nasemaje
Kuku kala mchele asubui, jioni kaliwa na wali.
YOU WILL NEVER WIN ANYTHINGView attachment 985755

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kufungwa tu. Liverpool haijawahi shinda mechi mwaka huu. Halafu wanasema wanagimbania kombe
 
Back
Top Bottom