The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Man U anaenda kupigwa 2-0 tena kwa clean shit

Kweli mkuu. Mpira hautabiriki. Pale huwezi laumu mchezaji wala kocha wa city maana walicheza vizuri tena kwa kiwango. Ila ndo hivyo tena mpira unadunda.
Big up chelsea. Ila Man United watashangaa sana kupata mashabiki wa Mancity siku wanacheza na liverpool. Msituangushe Man U. Tunaomba mturudishe hapo juu.
 
Hata sisi tulisema hayo kwa chelsea.
Hawakosekani dizaini ya Watu kama hawa hata kama ni jana tu alitabiri matokeo flani afu yakawa tofauti na jinsi alivyotabiri lakini atashupaza tu shingo kujifanya kuwa naye ni Nabii.

Ngoja tuombe Mungu atujalie tu uzima ili uone kama ataleta hapa sura yake kusema kitachotokea tofauti na matarajio yake kwa utabiri wake Mkuu.
 
Screenshot_20181212-075112.png
KDB anarudi
 
Nahisi hii game kocha atapanga kikosi Cha kawaida sana maana tumeshafuzu hatua inayofuata, japo ni muhimu tushinde hii game istoshe weekend iliyopita tumetoka kuumizwa na Chelsea kwahiyo ushinde wa leo utatufariji sana
 
Ipo hivyo ila nafasi yake atachafua Guendogan

Gundo hawezi hiyo nafasi, mwenye uwezo ni dogo Zinchenko na nae uzoefu ni shida mkisema awekwe Delph yule Delph uwezo mdogo according to me.

.Gundo anamudu nafasi ya Silva ya namba 8 ambayo kukaba sio sana ila kuchezesha washambuliaji ndio haswa kazi kubwa, Ngoja tuone lakini Pep anadili vipi na hili suala
 
Gundo hawezi hiyo nafasi, mwenye uwezo ni dogo Zinchenko na nae uzoefu ni shida mkisema awekwe Delph yule Delph uwezo mdogo according to me.

.Gundo anamudu nafasi ya Silva ya namba 8 ambayo kukaba sio sana ila kuchezesha washambuliaji ndio haswa kazi kubwa, Ngoja tuone lakini Pep anadili vipi na hili suala
Ngoja nifatilie nione Kama kweli jamaa ni majeruhi
 
Ww ulitaka tushabikie nn??? Usitupangie bn huu ni utashi wetu
Anaeongea haya ujue yupo chini yako. Aliye juu kwa sasa ni liverpool na liverpool fans hawawezi ongea hayo ya ooo hii timu inamashabiki ooo mara blablabla. Kelele ni watu wa chini. Halafu nasikia fununu kuwa man u hawataki kumfunga liverpool jpili kwakuwa akifanya hivyo man city anachafua hali ya hewa hapo jijini manchester. Jiji la Manchester linakuwa blue na sio red.
 
Back
Top Bottom